Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Kama umeli-download hili game, ukalicheza na unaendelea kulicheza utakubaliana na mimi hili siyo game, ila ni game zuri na tamu balaa!!
TunalipatajeKama umeli-download hili game, ukalicheza na unaendelea kulicheza utakubaliana na mimi hili siyo game, ila ni game zuri na tamu balaa!!
Tunalipataje
Mimi nalikubali sana dream league soccer 2015
Dream league 2016 sijalipenda siyo mzuri kama la 2015 jaribu la 2015 ndiyo mzuriFanya ku-download hili la 2016; kuna vitu adimu wameongeza, utalipenda sana!
Dream league 2016 sijalipenda siyo mzuri kama la 2015 jaribu la 2015 ndiyo mzuri