Msaada: TV haichezi video kutoka kwenye flash

MTOTO YATIMA

Senior Member
Jul 1, 2012
147
58
Wakuu naombeni msaada,
Nina Television yangu Sumsung flat screen in in usb port ila sasa nikiweka flash disk ikiwa na mvoies hazionekani kabisa lakin ikiwa na nyimbo audio zinaplay bila matatzo sasa nashindwa kuelewa video zinatakiwa kuwa kwene format gan ili ziweze kuplay.
Msaada tafahali
 
Tatizo ni format ya video files.Tumia total video converter ku-Convert hizo movies kwenda .avi format .
 
Leta jina na model no ya TV yako ,, kwa modern samsung TV zimetengenezwa na feature inaitwa smart share , hii ina play format za aina nyingi sana kuanzia mp3 mpaka mp4 , hard disk pia ina play ... Inawezekana unalazimisha vitu ambavyo TV yako haina
 
Nitakuletea mkuu ili uniambie mana nikwamba haioneshi kabisa kwamba kuna video zozote ila picha na audio inaonesha
 
Back
Top Bottom