Msaada wa ku upgrade Android version 4.2.2 SIII Mini

pongwer

Senior Member
Mar 19, 2015
174
26
Simu yangu ni samsung gallaxy SIII Mini version 4.2.2 nataka kwenda ktk version ya juu zaidi naombeni msaada wenu wa hali na mali.....

Simu nmeshai-root kwa #kingroot na imekuwa verified kwa #root_checker , so naomba msaada wa kuwa upgraded step kwa step.... kwa yeyote atakayeweza kunipa maelezo ya hatua kwa hatua aje #DM

#RT:
NAMBA YANGU YA SIMU NI
0758 223455
0679 448195

Tsh. 10,000/= KAMA ZAWADI via M-pesa KWA ATAKAYETOA USHIRIKIANO HADI KUFANIKISHA HILI MPAKA MWISHO !

Shukrani.
 
Ulifanikiwa kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom