Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

salaam jf. Pirate bay link ya magnet haifanyikazi mwenye mbadala anijuze.
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Nataka nimepeleke kijana akapigwe msasa kwenye hii (HAPA) shule, vp wako vizuri? Tupeni maoni yenu kwa anayewajua.
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Wakuu naombeni msaada ninatumia laptop vaio yenye kutumia window 8.1 sasa nına modem ya halotel ambayo nimeanza kuitumia kama wiki hivi. Kila ninapoitumia baadaya ya muda inafreeze laptop ambapo...
0 Reactions
7 Replies
948 Views
Dah,mtandao wa tiGO kwenye internet ni wa kipuuzi,unakosesha raha baadala ya mtu ku-enjoy,page ina-load weeeeeee.....!!!! mpaka inakata yenyewe,ukinunua bando linaisha ukiwa umefanya machache...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wadau???? Ebhana hii simu tecno C8 inanichanganya sana hii simu ni kwamba niliponunua nlipewa na charger yake na ikawa inapokea chaji vizuri tuu sasa kwa bahat mbaya ile...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
dell core i3 bado ipo kwenye hali nzuri nauza kwa muhitaji just pm
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Habari wakuu. Bila shaka kama siyo kuwa mgeni basi nipo nyuma kwa suala la chrome based computers. Hizi computers nimezikuta sana kwenye company nilioajriwa. Sikuwahi kuziona madukani zikiwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wengi wetu tumeliona hili tangu TCRA wafungie simu bandia ili kutokomeza simu bandia. Lakini cha kushangaza Samsung nyingi sana ambazo sio bandioa zimekuwa katioka mkumbo huo, wengi wetu walikosa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Hi jf.. Wale wote mlio na tecno y3+ kutoka tigo ambazo hazifanyi kazi bila lain ya tigo na 3g inasoma kwa line moja tu yaan ya tigo.. Tunatibu hilo tatizo sim yako itafanya kazi bila line ya tigo...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada kwa mwenye firmware ya Galaxy gt n8000. Asanteni sana.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu, kila nikijaribu kuinstall itunes kwenye laptop inagoma, nikiinstall inaendaa ikifika sehemu inaanza kurudi nyuma ( roll back) then inaishia hapo, nimejaribu version tofauti ila...
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Juzi nilimua kwenda Mlimani City kwenye Duka la Voda kwa ajiri ya Kuswap line yangu ya Voda kwenda kwenye 4G kama wao wanavovyesema! Lakini Before Nilisha enda K/koo pale Msimbazi kwenye Duka la...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
naomba mwenye utalaamu wa kutengeneza pikipiki baiskeli inayotumia mafuta, pia ningependa kujua vifaa na gharama zake!
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa anaye fahamu jinsi ya kuanzisha acount ya Gmail anisaidie natanguliza asante.
0 Reactions
8 Replies
10K Views
account za google adsense kumi(10) zinahitajika mapema..kama uzazo nijuze au hata kama una kuanzia moja na kuendelea ni p.m mapema
0 Reactions
4 Replies
843 Views
Kama nikiwa out of network nataka niwe napata message za watu walionitafuta nikiwa kwenye network.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WAKUU HABARI ZENU Nimejaribu kufuatilia labda kutakuwa na uzi wowote uliojumuisha jinsi ya kuunlock modem za tigo huawei 303e ili itumie line zote bila mafanikio sijapata.... NAOMBENI MSAADA WENU...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu poleni na J.pili nzuri iliyotulia, Mimi mwenzenu kuna kitu kinanitatiza kwenye simu yangu hii ninayotumia ni samsung galaxy. Sasa hapa juu karibu na hivi viminara vya data ikiwa on kuna...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Je nawezaje kupata Whatsapp plus kwenye simu yangu msaada please wadau
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom