Tecno j8

buhanda

Member
Jul 4, 2016
77
30
Wadau poleni kwa uchovu wa weekend
Nina rafiki ana techno j8 (boom) Bluetooth yake haina nguvu ya kukonet umbali wa haya mita mbili
Tatizo nnn?
Na nn afanye?
Nategemea kutoka kwenu wadau
 
Back
Top Bottom