Sony xperia imegoma kustart

Sony xperia imegoma kustart

Pazmanian

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
984
Reaction score
1,353
Nina sony xperia tatizo lake ukiiwasha inawaka inaonyesha logo ya sony,baada ya hapo haiendelei inakua inajiwasha na kujizima, nini tatizo au nifanye njia ipi niweze kutatua? Msaada wakuu.
 
Hiyo itakuwa imebrick, jaribu kuirestore au km itaendelea kufanya hivyo itabidi uflash firmware
 
Kuna mda inawaka kabisa baada ya muda inajizima then inajiwasha. Nafikiria kuirestore ila tatizo sijafanya backup.
 
Nina Samsung ASTV
T899 IKIWEKA BETRI INAPATA MOTO SN MSAADA PLS
 
Back
Top Bottom