Rooting na TCRA

Gojaga Nize

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,755
1,734
Naomba kuuliza hii issue ya ku-root simu na TCRA imekaaje? Ukiroot wanakumind au ni kuflasha tu.

Asanteni,
 
Kwa mfano mi cmu yangu ni Tecno L6 ina tatizo la kutopokea cmu mtu akipiga inaandika UNFORTUNATELY PHONE HAS STOPPED ikisha andika hvo uwezi kupokea, nimeambiwa only solution ni kuflash na Tcra hawataki hii biashara nifanyeje wadau??
 
Kinachotakiwa kufanya ni kuflash system partition only ao haihusian na masuala ya imei wala serial number ambazo hizo zinakaa kwenye nvram partition .. Ni PM nikusaidie
 
Kwa mfano mi cmu yangu ni Tecno L6 ina tatizo la kutopokea cmu mtu akipiga inaandika UNFORTUNATELY PHONE HAS STOPPED ikisha andika hvo uwezi kupokea, nimeambiwa only solution ni kuflash na Tcra hawataki hii biashara nifanyeje wadau??
Hiyo ni ya kuflash ni virus or use Special repair tool, virus tool removal possible on MTK CPU and SPD CPU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom