Kahema
JF-Expert Member
- May 21, 2010
- 202
- 43
Habari wandugu
Kama kuna mwenye uelewa na hili naomba anisaidie. Hua natumia internet kustream live football match, lakini mara nyingi internet inakua slow sana.
Natumia 4G ya TTCL na hua nikitest speed inakua kati ya 25Mbps (downloading) ping inakua kati ya 37+ ila picha inakata kata sana.
Nikitumia Voda 3G kwa speed kati ya 14- 16 Mbps(downloading) atleast unaweza stream hadi nusu saa bila kukatakata picha.
Ninachotaka kujua ni kwanini sipati matokeo mazuri kwa TTCL 4G wakati speed na ping yake ni kubwa kuliko voda 3G?
Asanteni