Wanabodi habari zenu, naomba msaada wa hatua moja baada ya nyingine kwa MTAALAMU au wajuzi wa mambo Haya ,
Ni hatua gani nifuate au utaratibu UPI ili nitengeneze database ambayo itakuwa na mambo...
mfanya biashara marekani kagundua silaha mpya ambayo ni bastola lakini smartphone tena Iphone...hii unaweza ukaibeba na kuificha kwa urahisi bila mtu kujua, itaanza kuuzwa soon mwishoni mwa mwaka...
Habari ndugu zangu,poleni na shughuri za hapa na pale za kila siku katika maisha. Ndugu zangu mi ninashida moja ninayoipata ninapokua naitumia simu yangu,simu yenyewe ni Lumia 430 window 10 mobile...
Wakuu heshima kwenu.
Nimenunua laptop Acer Aspire R 11 ikiwa na window 10 installed. Tatizo nimeshindwa kuunganisha internet kwa kutumia simu yangu (hotspot) lakini nikiunga kwa wireless...
Habari wakuu.
1. nina Samsung galaxy Trend Lite nikipigiwa simu naambiwa sipatikani na wakati mwingine napatikana. issue ikoje hapo
2. hii hii simu nikiingia internet muda fulani ina disconnected...
Kwa taarifa nilizo zipata jana kutoka blog ya
Maswayetu blogger ni kwamba kwa mhitimu yoyote ili aombe mkopo inapaswa awe na ufaulu wa GPA YA 3.5 kwa o`diploma je kweli wadau wa elimu ya juu kwa...
Msaada laptop yangu sina ya dell inazingua kidogo kwenye net ipo slow na music ina play tatizo lipo kwenye video iwe video ya YouTube au ambayo saved kwenye computer ikiplay baada ya dakika 3 tu...
Habarini!!!!
Am on the way to mombasa sina budi kulala ARUSHA ndo safari iendelee!!!!
tumefika jioni hii ila ilipofika mda wa kuangalia taarifa ya habari walipo washa TV chanel zikawa empty kumbe...
Mimi ni freelancer nauza line line za simu sana ila wateja wangu wengi wanapenda mtandao wa VODACOM.
Huwa wanashindwa kunielewa pale wanapohitaji huduma ya SIM SWAP na hapa ni kijijini inakosa...
Wadau naomba kujua kuna uwezekano wa kuangalia TV bila king'amuzi kwa channels zote (azam TV, continental TV ,zuku TV n star times TV n TV za nje ) kwa kutumia flat screen TV ,
Kama kweli utumika...
Niaje Wakuu niende moja kwa moja kwenye point
Kuna Spread sheet nataka kutengeneza ambayo inakuwa na Expenses, Derbit, Credit na Cash Flow kwenye Bank Acc mfano nimenunua sukari 200tsh hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.