Tusaidiane app nzuri za android kwenye PC

Rudbway

JF-Expert Member
Jul 14, 2014
294
157
Habari wakuu!

App gan niwe nayo ili niweze kuinstall apps nyingi za android kwenye PC (laptop) yangu.

Tusaidiane...
 
Kama vile Telegram, whatsApp, Tubemate na nyngn nyingi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom