Tv yang ni lg model 42px4mvh-ta,nakosa raha kabisa ukizingatia nilinunua zanzbar alfu mimi naishi mkoan,kuirudisha tena naona. Ni kazi ya ziada,ilianza kama mchezo iv,ilikua ukiiwasha inakua black kwenye lcd baada ya muda inapotea na kubaki kwenye rangi yake harisi,kila muda unavyokwenda lile baka la weusi likawa linabaki mpaka kufikia hatua hii,limebaki kubwa sana nazan baada ya muda mchache ujao screen yote itakua black,msaada ndugu zang,wapi naeza kutengeneza,au nini kinaweza kua chanzo? Na je inaeza kutengenezeka?