Msaada jinsi ya kuactivate lg g4, nikiwasha inanipa option ya kuselect language, nikishaselect language inanipa option ya kuset internet connections ambayo nikiselect chochote kile inanipeleka...
Ni matumani yangu mmeamka salama. Eid Mubarak [emoji287] kwa wale ndugu zangu waislamu.
Leo asubuhi nilipoamka nikashangaa kuona kasimu kangu cha nokia ya tochi cha mchina kalichokuwa kamefungia...
Ndg wana jf naomba kusaidiwa
Nina laptop aina ya HP min probook 4331s wakati nainunua ilikuwa na hard disk (HD) 640 nikabadili window 7 na kuweka window 8 .sasa cha ajabu imepungua HD ni 121+474=...
Hbr wana JF....
Naomba msaada jinsi ya kufunga website flan isifanye kaz ktk PC yako mana hapa home nakoma kila nkiacha PC nkirudi ile kupitia Internet nakuta Web ya mwisho kutumika ni ya porn
I have a harman kardon home theatre including AVR. The AVR has malfunction and am looking for a technician to repair it. Where can i get one here in Dar.
Whatsfapp ni moded application ya Android inayofanya kazi kama Whatsapp ya kawaida kwenye simu ya android. Ni salama kwa mtumiaji na haiitaji ROOT kwenye simu una install ya kuanza kutumia kama...
Wadau kiasi flani natumia hizi social network, lakini bado naona kuna vitu nahitaji kujifunza Zaidi kama vile kuunda page, kupromote page, kuunda blog na kuiendesha na mengine kibao. Wapi...
Naombeni msaada wakuu, toka jana nikizima data kwenye simu yangu bado naendelea kupata huduma za internet km WhatsApp, naweza kuingia jamii forums, wakuu tatizo ni nini maana simu inakwisha charge...
Je unaweza kuchukua pic Instagram? Kama huwezi cha kufanya.kuwa na Instagram ya kawaida,Alafu download [OGinstagram],unazitumia kwa pamoja unaweza kuchukua pic yoyote Instagram pamoja na video...
Habari zenu wataalamu..
Nimepata tatizo baada ya kubadili laini kwenye simu (aina ya tecno j7)
inaniletea ujumbe wa
"pin..please enter the privacy password to unlock"
Nahisi niliwahi ku-activate...
Kama ndio unaingia humu kwa mara ya kwanza kabisa inawezekana kuwa unapata shida sana kuficha ujumbe katika mitandao ya kijamii
hasa hasa WhatsApp. Labda una familia, marafiki au wafanya kazi...
naomba msaada wakuu,kama naweza pakua free windows office ya 2007 na kuendelea,na isiwe ya majaribio. bila ya kutumia cd. kama inawezekana msaada tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.