Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu. Kwa mara ya pili nimeweza ku flash smart phone aina ya huawei ambazo zilikuwa zina stuck kwenye logo. Ilikuwa hivi: Nilikuwa na simu aina ya huawei y330 ambayo ilikuwa ina...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Chombo cha anga - Space X CRS-9 ambacho kimebeba mizigo (cargo flight) kitatua kwenye chombo cha anga cha kimataifa - Internationa Space Station Jumatano, July 20 saa 5.30 ETD. Natumaini hizi ni...
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Msaada mwenyekujua kuunga wite less
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Nina simu yangu huawei y300 ilikuwa inanisumbua sasa nikaamua kuifanyia Factory reset sasa baada ya kuifanyia factory reset nilivyo iwasha inawaka inaniambia welcome na language imeniwekea English...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Join me in #AppMahal! Get it FREE on Google Play... Join me in #AppMahal! Get it FREE on Google Play...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
habari, jamani nimeletewa Sony xperia M4 ila tatizo ni moja, haina au haisuport Google service hivyo haina playstore, je nifanyeje
1 Reactions
3 Replies
887 Views
Wanajamvi habari zenu natafuta Game za warfare, mfano Zile za Call of Duty modern warfare, kama kuna zinazofanana na hyo naomba uni PM
0 Reactions
3 Replies
770 Views
Hello friends, naomba mtu mwenye settings za WhatsApp atuwekee hapa tafadhari nasi tujiachie...!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna ukweli wowote kuhusu ufanyaji kazi sahihi wa hizi applications za kusave power kwenye simu???? Kama zipo ni zipi kama kuna mtu anajua ufanyaji kazi wake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jinsi ya kufufufa modem zilizokufa kwasababu ya kubadili firmware wakati wa kutaka kuifungua itumie mitandao yote vitu vinavyotakiwa kama vifuatavyo:- 1.drivers za huawei. 2.huawei repair modem...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Watumiaji wa simu wa Tecno wanaletewa habari njema, kama simu yako ina tatizo lolote tafadhali ingia katika forum maalumu ya TECNO Tanzania kwa link hii hapo chini http://bbs.tecno-mobile.com/...
2 Reactions
36 Replies
8K Views
Wakujua ninacamera yangu ya Canon zoom mealibika frash nikiiwasha inaniandikia raise the flash wakati nimesha ifungua imeinuka naomba kujua nifanyeje.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu PC yangu pindi ninapoiwasha screen ina blackout afu inatumia muda sana kuwaka...na pia nikiplay video after several minutes inastuck mpaka ni restart tena,, mwenye ufumbuz wa tatizo hili...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Recently nimebadili kasimu kangu, nimepata haka kanakorun ios version 9.3.2. Tatizo nimeshindwa kurudisha app ninayoipenda. Nimetafuta JF App for ios 9.3.2 siipat App Store. Is anything wrong?
0 Reactions
2 Replies
618 Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, naomba kupata msaada wa namna ntapata hiyo program tajwa hapo juu ambayo itaweza kunisadia katika mambo ya fuatayo: * kujaza taarifa binafsi za kila...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninahitaji mtaalam wa IT aliye na programme ya hospital. Kama una mfaham anicheck inbox plz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mumda huu wapendwa wa Jamii Forums naombeni mnijuze gharama za vifurushi vya canal + sport manake nimeshindwa bei ya dstv ,NATANGULIZA SHUKRANI.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Just installed Administrator and MySQL query Browser. In order to begin use, I need to insert in Stored Connection and in Server Host. The documentation in section 3.2 shows 'localhost'. Should I...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Nilefuta picha bahati mbaya naombeni mnisaidie app nzuri ya kuback up picha zilizofutika kwenye SD CARD mwenye ujuzi anipe maana awali nilipata app ila ni trial.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nimeweka modem brand ni Zain Huawei E1550 nime install fresh setup yake shida kila nikitaka kuconnect na internet inaandika The device has been disconn disconnected or unavailable sehemu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom