• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mambo vipi marafiki naombeni msahada

Loveb

Loveb

Member
Joined
Jul 10, 2016
Messages
8
Points
45
Loveb

Loveb

Member
Joined Jul 10, 2016
8 45
Wakujua ninacamera yangu ya Canon zoom mealibika frash nikiiwasha inaniandikia raise the flash wakati nimesha ifungua imeinuka naomba kujua nifanyeje.
 
MTV MBONGO

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
1,049
Points
2,000
MTV MBONGO

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
1,049 2,000
wacheck mafundi camera
 
KAFA.cOm

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Messages
1,305
Points
2,000
KAFA.cOm

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2013
1,305 2,000
nan anakushika shika hapo
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
4,702
Points
2,000
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
4,702 2,000
Kijana, naomba nitajie jina kamili na model ya camera yako, ikiwezekana na picha.

Halafu elezea vizuri, hiyo message inakuja ukiwasha camera au ukitaka kushoot?

Na hiyo error message ilianza baada ya wewe kufanya nini?
 
radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
18,510
Points
2,000
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
18,510 2,000
Kiswahili tatizo toka heading hadi maudhui unawakimbiza walio na nia ya kukupa msaada.
 
CleverKING

CleverKING

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
8,535
Points
2,000
CleverKING

CleverKING

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
8,535 2,000
Tatizo sio kiswahili tatizo hizi simu
Tatizo sio Simu,tatizo ni mtumiaji wa simu mwenyewe!

Soma comment zako kuhakikisha kama umeandika kwa usahihi kabla ya kuzituma.
 
clet 8

clet 8

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
1,116
Points
1,500
clet 8

clet 8

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
1,116 1,500
Ujumbe si mmeupata, yaani mmeelewa alichotaka kusema!
Sasa mpeni ushauri wa tatizo lake msiishie kumkosoa.
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
27,357
Points
2,000
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
27,357 2,000
Ujumbe si mmeupata, yaani mmeelewa alichotaka kusema!
Sasa mpeni ushauri wa tatizo lake msiishie kumkosoa.
kukosolewa pia ni sehemu ya maisha huwezi kujifunza bila kukosolewa ....................... hatumpi msaada mpe wewe

hahahahaha
 

Forum statistics

Threads 1,405,596
Members 532,052
Posts 34,490,168
Top