nyiudanyuki
Member
- Jul 17, 2016
- 7
- 2
Kuna ukweli wowote kuhusu ufanyaji kazi sahihi wa hizi applications za kusave power kwenye simu???? Kama zipo ni zipi kama kuna mtu anajua ufanyaji kazi wake
Yaaap!! Ht me natumia window phone...Battery Server ndio kila kila kwenye kuhifadhi chajiinategemea na simu,..simu yako aina gani!
iphone kuna namna yake, android namna yake na window phone namna yake.
kwa upande wa windowphone mimi natumia app ambayo imekuja na simu na kweli inafanya kile ilichosema inafanya...(battery saver) tena walla huitaji kui install
ukiweka on na ikasema masaa matatu umesave ni kweli huwa yanafika matatu
sijui kwa iphone ila Android app nying za uzushi...na matangazo
unaliwa Ram yako simu inakuwa slow na kama una internet bando linaondoka taratibu....
kwa android greefy inafaa zaidi ila inachofanya hata wewe unawezafanya bila kuwa na hio software.
huwa inazima background apps zote na kuacha zile za muhimu na ulizo zichagua. ila hata wewe unaweza kuzima hizo apps zisi run kwa background pia unaweza kuzistop kwenye apps manager, punguza mwanga wa simu kuwa low, zima hardware zote ie bluetooth,wifi,gps, accelometer,compass... utasave charge bigtime pia zima internet kama huitumii