Habari njema kwa watumiaji wa simu janja za Tecno

Eric Mkomoya

Member
Oct 10, 2014
55
56
Watumiaji wa simu wa Tecno wanaletewa habari njema, kama simu yako ina tatizo lolote tafadhali ingia katika forum maalumu ya TECNO Tanzania kwa link hii hapo chini
Tecno-Boom-J8-Phone-01.jpg

http://bbs.tecno-mobile.com/ ukiingia kweny link hiyo hapo hakikisha unajiunga kama mwanachama na unakua tayari kuhudumiwa kwa lolote ambalo linakua kusumbua kuhusiana na simu aina ya tecno na kama litazidi utaelekezwa kufika TECNO service center kwa huduma zaidi.

Washirikishe pia watumiaji wengine na wengine wa simu za TECNO uzuri wa simu kubadilishana taarifa na kuchati kuhusu simu na mambo mengine, TECNO spot ipo kwaajili wewe mtumiaji wa TECNO.
 
nilichowahi kuipendea tecno ni app ya palmchat, hii naona ni zaidi ya badoo, teh!
 
si
nilichowahi kuipendea tecno ni app ya palmchat, hii naona ni zaidi ya badoo, teh!
sign up kwa Tecno spot unaweza jishindia zawadi nyingi kwa kutuambia unavutiwa na nini na tecno na vitu vingine uvijuavyo kuhusu Tecno brands....
 
Ndio nini?
palm chat inapatikana katika simu za iel na tecno pia katika software system za Android, JAVA, Symbian, Blackberry na WAP, ina chat room, unaweza tuma picha, voice, ina supoti pia group chat pamoja na location searching ya watu walio nearby wenye palmchat app...
 
Afadhali wameweka hii, atleast matatizo ya wenye Tecno yatapungua humu ndani.
 
Afadhali wameweka hii, atleast matatizo ya wenye Tecno yatapungua humu ndani.
yah watapata solution za haraka kwa simu zao hasa kama umenunua simu mpya na imeanza kusumbua fanya haraka kuingia kwa forum usiseme nini tatizo
 
Natumia tecno tab,E9, camera yake siyo nzuri,picha giza tupu. Nimehangaika sana,hola
 
Back
Top Bottom