The founder of the world’s largest torrent hosting website KickassTorrents is now behind the bars. The cause of his arrest are the legal purchases he made on Apple’s iTunes Store which helped the...
Wanajamvi wenzangu nisaidieni computa yangu ina RAM ya 2gb nimenunua RAM mpya leo ya 4gb ili jumla ziwe gb6. Nimepachika lakini inapiga alam tu.
Nifanyeje? Ila nikiitoa nikaiacha ile peke yake ya...
Wakuu nawasilimu sana na poleni na majukumu ya kila siku,
Naombeni msaada jamani laptop yangu ipo slow sana sijui ni kwanini, haijapita wiki mbili nimetoka kuweka window mpya, antvirus mpya tena...
Salaam kwa wote,
napenda kuuliza kama kuna mtu kwa hapa TANZANIA yuko interest na Data Structure & Algorithms Implementation in any language tuweze kushilikiana na kupeana mawazo njia na...
moderm yangu ya airtel E173u-1 wakati na unlock itumie laini zote cjui nimekosea nn baada ya hapo ikawa haisomi laini ya airtel na nyngn......naomba maelekezo please anayejua
imekufa Main Board, haiwezi kuchaji na hata ukichajia battery nje, ina OverHeat na battery inaisha ndani ya dakika 10. Sasa deal hapa niuze kama spare parts au uniuzie board nzima ya android 4.2...
Wadau nimekwama simu tajwa hapo juu inazima na kuwaka muda wote, nahisi ni tatizo la OS yake imeingia virus. Yeyote ambaye anaweza kusaidia kwa namna yoyote nahitaji msaada wake ili simu ifanye kazi.
Habari dada angu ana simu yake ya tecno y3 ambayo ni rooted,lakin siku ya jumatatu aliirestore baada ya kuwaka kila akifungua data kwenye display kwa chini inaleta neno EXIST
Salami wakuu...
Poleni kazi,ebana ninasimu hapa H6 mpya tu,nilimpatia ndugu yangu aitumie lakini ameitumia siku yakwanza kwa kupiga picha ilikuwa vizuri tu,lakini siku iliyofuata alijaribu kupiga...
Kwenu wataalamu wetu fanyieni kazi hilo jamii TV sijajua kama ni Mimi tu au ni wote,tatizo linalonikuta Mimi ni pale TV inapo kuwa ipo offline yaani kuna errors zinajitokeza yaani hata button ya...
jamani kila wakati website zinasimama na kuganda halafu inakuja hio message kuwa shockwave may be busy.. sijajua namna ya kurekebisha.
Msaada wenu hapa wakuu
habari wadau wa JF. kama kuna mdau anajua mahali penye fundi bingwa wa smartphone hapa Dar anipe mawasiliano au anielekeze sehemu kuna simu zangu zime hard brick.
Nawasilisha
Msaada wanajamvi.
Nimenunua phone, usb hdmi cable ambayo nilifikiri nikiunganisha na phine yangu ya tecno camon c8 itasoma kwenye tv. Kwa yyte mwenye ujuzi wa namna ya kuunganisha phone na tv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.