Wakuu nimeweka modem brand ni Zain Huawei E1550 nime install fresh setup yake shida kila nikitaka kuconnect na internet inaandika The device has been disconn disconnected or unavailable sehemu ya mtandao haijapandisha kabisa nifanyaje?
Natumia window 10 je naweza Kuinstall drive ya huawei modem yoyote?nenda kwenye device manager na uangalie kama driver ya modem ipo fresh. hapo tatizo ni kwamba driver ya modem haijakaa fresh especially kama unatumia windows 8 preview. Au modem imecorupt firmware
Natumia window 10 je naweza Kuinstall drive ya huawei modem yoyote?