ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Nina simu yangu huawei y300 ilikuwa inanisumbua sasa nikaamua kuifanyia Factory reset sasa baada ya kuifanyia factory reset nilivyo iwasha inawaka inaniambia welcome na language imeniwekea English niki click start ina load halafu inaniletea huo ujumbe nimerudia mara kurudia lakini inakataa ikileta huo ujumbe inanirudisha mwanzo kwenye start msaada tafadhari jinsi ya kufix
Kuna sehemu nimesoma kuwa nitumie TWRP recovery lakini siijui inakuwaje wala madhara yake msaada tafadhari
Kuna sehemu nimesoma kuwa nitumie TWRP recovery lakini siijui inakuwaje wala madhara yake msaada tafadhari