aiseh! sijakuelewa hiyo misamiati!Hujaeleweka!
Je unataka kutumia huduma ya "Mtandao Huru" kutoka kwenye Kitanakalishi ili uipate kwenye simu?
au
unataka kutumia huduma ya "Mtandao Huru" kutoka kwenye simu ili uipate kwenye Kitanakalishi?
-Kama swali lako ni la KWANZA:
Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha PC yako ina huduma ya mtandao, baada ya hapo una pakua kitumizi kinachoitwa "MyPublicWifi".
Ukisha pakua unaichimbia kwenye kitanakalishi kisha unaifungua, itakupa muonekano ambayo utakuwezesha kupangilia kitovu cha mtandao.
Baada ya hapo unatumia simu yako ya mkononi kuwasha "Wifi"..... TAYARI.
-Kama swali lako ni la PILI.
Hakikisha simu yako ya mkononi inapata mtandao, baada ya hapo nenda kwenye mpangilio na uwashe" Kitovu Mtandao". Ukiswa washatu basi rudi kwenye Kitanakalishi kwenye sehemu ya "Kituo cha mtao huru" - utakuta jina la "Mtandao Huru" kwenye orodha basi unachotakiwa kifanya ni kuunganisha.
Baada ya hapo Kitanakalishi chako kitakuwa kinapata Mtandao huru kutoka kwenye simu.
aiseh! sijakuelewa hiyo misamiati!
Mkuu kiingereza kimeniharibu kwa kiasi fulani nimechukua mda kidogo kukuelewa ila big up kwa kutumia kiswahili sanifu.Hujaeleweka!
Je unataka kutumia huduma ya "Mtandao Huru" kutoka kwenye Kitanakalishi ili uipate kwenye simu?
au
unataka kutumia huduma ya "Mtandao Huru" kutoka kwenye simu ili uipate kwenye Kitanakalishi?
-Kama swali lako ni la KWANZA:
Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha PC yako ina huduma ya mtandao, baada ya hapo una pakua kitumizi kinachoitwa "MyPublicWifi".
Ukisha pakua unaichimbia kwenye kitanakalishi kisha unaifungua, itakupa muonekano ambayo utakuwezesha kupangilia kitovu cha mtandao.
Baada ya hapo unatumia simu yako ya mkononi kuwasha "Wifi"..... TAYARI.
-Kama swali lako ni la PILI.
Hakikisha simu yako ya mkononi inapata mtandao, baada ya hapo nenda kwenye mpangilio na uwashe" Kitovu Mtandao". Ukiswa washatu basi rudi kwenye Kitanakalishi kwenye sehemu ya "Kituo cha mtao huru" - utakuta jina la "Mtandao Huru" kwenye orodha basi unachotakiwa kifanya ni kuunganisha.
Baada ya hapo Kitanakalishi chako kitakuwa kinapata Mtandao huru kutoka kwenye simu.
Kama ukiweka nywila kwenye mpangilio wa mtandao wa simu basi ndiyo itakayo tumika pale uitajipo kujiunga kwenye mpangilio wa ktandao wa kitanakalishi.Bro hapo kwenye password unaweka password ipi ya simu au network
Password zinapatikana ktk kipengele cha portable hotsport na zinakuwa very complex ila unaweza kuzibadilisha na kuweka utakazo ww ambazo utakua ukizitumia.Bro hapo kwenye password unaweka password ipi ya simu au network
Nifanyie mpango Mzee nipate kuzijua na mm nizifaidiPassword zinapatikana ktk kipengele cha portable hotsport na zinakuwa very complex ila unaweza kuzibadilisha na kuweka utakazo ww ambazo utakua ukizitumia.
Zipo ktk simu yako na haiwezekani mtu mwingine kuzifahamu bila kuchukua cmu yako na kuziangalia.Nifanyie mpango Mzee nipate kuzijua na mm nizifaidi
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app