Sony xperia

samsamwel

Member
Sep 10, 2015
95
20
habari, jamani nimeletewa Sony xperia M4 ila tatizo ni moja, haina au haisuport Google service hivyo haina playstore, je nifanyeje
 
Ingia playstore download cpu z, Then nenda gsm search aina ya hiyo simu halafu fananisha hizo specification, Km zinaoana basi hiyo simu ni OG, Km ni tofauti ni clone.
 
Ok Asante mkuu tatizo Ni kukata line thn nakuta clone !? Most ofspecs ziko thesame nkiangalia kwny cm but wacwacwangu zawezakuwa zmewekwa after rooting
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom