Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu, nilikua na Samsung s3 ilikua na radio lakini niliiuza nikanunua tena Samsung s3 lakini haina radio naomba kuuliza hii imekaaje na pia nikitaka kupakua radio mtandaoni zipo zisitumia...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu, nina dish la azam hapa. Ila sijui kama nimelikoroga wapi. Intersity ni 61% na quality ni 60%, ila inascrach sana na nikiongeza sauti ndo inazidi kukatika(scraching). Wakuu tatizo ni...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Kwa mwenye uelewa wa hizi flat screen mbili, "Star x na hisense" Yaani kichwa kimegoma kabisa naomba msaada wa maelezo yatakayonishawishi kununua moja ya brand hizo tajwa. Mfuko wangu uko na...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Habar wana teknolojia naomba msaada jamani computer yangu aina ya dell inspiron inagoma kuwaka(Hai display chochote) bali inatoa mlio tu wa kama beep kama mara mbilimbili hivi...
0 Reactions
2 Replies
762 Views
Jamani, nina external drive nikiiconect kwenye laptop inawaka lakini haioneshi icon kwenye my computer. Kuna data ambazo nahitaji kuzifanyia kazi .. nifanyeje ndugu zangu?
0 Reactions
2 Replies
722 Views
nahitaji tecno y 6 mpya kabisa ya dukani kwa anaefahamu bei yake au mwenye duka nije kununua kwake nipo dar mimi na hapa nina 140K.msaada wakuu please
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ili kunjoy running of any OS, Kuijua na kua na uwezo wa kucheza nayo ni moja ya jambo muhim. Ifuatayo ni makala fupi juu ya tricks 10 za kurahisisha matumizi yako ya android software ======= Top...
15 Reactions
151 Replies
20K Views
habarini wakuu. naomba mwenye ufahamu wa hii 'SIM - network unlock code' kwa mtandao wa vodafone (uk) anisaidie. nimeletewa simu toka uk lakini unapoweka sim card inaandika maneno hayo hapo juu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona jamaa wame update packages zao Tsh 1500 unapata 18GB kwa siku mbili(usiku tu) Tsh 500 unapata 1.2GB Kwa usiku mmoja tu. # ofa hii ni kuanzia saa tano...
1 Reactions
94 Replies
19K Views
Nimepoteza leo hii asubuhi, ni Apple. Nina imei no yake, password ya kufungua na gmail a'/c yake. Lakini nilikuwa bado sijajiunga na icloud. Naomba msaada toka kwa mwenye kujua namna ya kuipata
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu nakumbuka kama, kuna mtu alishawahi kupost jinsi ya kuchakachua hizi modem za Huawei e303 hiLink ambazo hazina dashbord ile inayotumika ku connect kama ilivyo kweny E173 na ZTE au modem...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Samahani wakuu mwenye mautundu na hizo shughuli naomba anisaidie na frequence za hizi tv za hapa bongo. Asanteni
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Tu wazima members wa JF. Hii 'DEEP WEB' inanikanganya. Mwenye uelewa na hii 'Deep Web" karibuni kwa ufafanuzi zaidi. #DEEP WEB NI NINI? MNAKARIBISHWA MICHANGO YENU.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayejua programm ya unlock network(kwa simu zinazotumia mtandao mmoja)....naomba anisaidie please
0 Reactions
2 Replies
722 Views
WhatsApp To Terminate Support for Blackberry, Windows and Symbian Devices Whats App has announced that it will terminate support for BlackBerry, Nokia S40, Nokia Symbian S60, Android 2.1 and...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau ninataka kudowload application kwa ajili ya simu yangu lakini kila nikianza ku dowload inauliza ya kuwa itakuwa in access picha,call na SD yangu.Imekaaje hii?
0 Reactions
1 Replies
852 Views
WARNING: YOU`RE FOLLOWING THIS GUIDE AT YOUR OWN RISK!... I DO NOT HOLD ANY RESPONSIBILITIES IF YOUR MODEM TURNS OUT DEAD!... So, kitu cha kwanza kabisa kufanya ni kwenda kwenye link hapa na u...
4 Reactions
58 Replies
21K Views
Jarida liitwalo MIT Technology Review iliyojikita na uchambuzi ya masuala ya elimu ya kiteknolojia imeorodhesha listi ya makampuni bora 50 yanayofanya vizuri duniani kwa mwaka 2016. Uchambuzi huu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada Niliibiwa simu ila mazingira yalikuwa hivi. Nilimpa mdada lift kwenye pikipiki alivyoshuka kuja kucheki simu haipo. Sasa namba yake nilikuwa tokea siku nimpe lifti...
1 Reactions
2 Replies
991 Views
Back
Top Bottom