yoga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2013
- 1,820
- 8,498
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, naomba kupata msaada wa namna ntapata hiyo program tajwa hapo juu ambayo itaweza kunisadia katika mambo ya fuatayo:
* kujaza taarifa binafsi za kila mwanafunzi
* taarifa za kitaaluma kwa kila mwanafunzi
*malipo na deni la kila mwanafunzi
Lengo ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa hizo kwa wazazi na wanafunzi ambapo watatembelea website ya shule moja kwa moja na kupata taarifa hizo bila kufika ofisini kwa kutumia internet na sms!!!