Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wakuu.
Kwa mara ya pili nimeweza ku flash smart phone aina ya huawei ambazo zilikuwa zina stuck kwenye logo.
Ilikuwa hivi:
Nilikuwa na simu aina ya huawei y330 ambayo ilikuwa ina stuck kwenye logo, nikapeleka kwa fundi kwa ajili ya ku flash, fundi akasema gharama yake ni shiling elfu kumi na tano. Khaa, nikahisi jamaa ananiibia pesa yangu.
Nikaamua kughairi, nijiunga na bando la voda la usiku, nilikesha kwenye google usiku kucha. Nikjikuta natumia wiki nzima ku google, hatimaye siku ya siku nikaweza kui flash.
Jana, tena kuna jamaa kaja na simj yake huawei y600 ina stuck kwenye logo.. Hahahaha.... Round hii ilikuwa kama kumsukuma mlevi, baada ya dakika 10 simu ikawa safi kabisaa, nikaramba elfu kumi na tano yangu saafu kabisaa.
Ukiwa mtundu raha sana. Guys, tusikubali kushindwa kirahisi. As longer as majaribio unayafanya kwenye kifaa chako, hata kikifa, ni chako.
Kwa sasa naweza flash baadhi ya smart phone, pamoja na kuweka custom rom.