TOSHIBA

TOSHIBA

BeNNy Mamba

Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
75
Reaction score
66
Wakuu PC yangu pindi ninapoiwasha screen ina blackout afu inatumia muda sana kuwaka...na pia nikiplay video after several minutes inastuck mpaka ni restart tena,, mwenye ufumbuz wa tatizo hili anisaidie wakuu
 
Repair windows au ipige chini kabisa uweke upya.
 
Nimejaribu kupiga window chini ila tatizo bado lipo mkuu
Ina antivirus? Kama umeifanyia pertition huenda vimelea vimeshambulia zaid ktk files zingine.

Ila bado inanisumbua akili ktk uwakaji wake, kwanin ichukue muda mrefu kama windows ni mpya?

Ngoja wataalam zaid waje pengine utapata suluhisho.
 
Ngoja tuone wengine watasemaje inaelekea hili tatizo ni common sana kwa TOSHIBA
 
Wakuu PC yangu pindi ninapoiwasha screen ina blackout afu inatumia muda sana kuwaka...na pia nikiplay video after several minutes inastuck mpaka ni restart tena,, mwenye ufumbuz wa tatizo hili anisaidie wakuu

unapoiwasha screen ikiwa black Bonyeza button yoyote kwenye keyboard mara moja tu, uone kama itawahi kuwaka ulete mrejesho hapa
 
Bado inachelewa kuwaka aseee

inawezekana HARDDISK ndio ina matatizo, jaribu yafuatayo.

hakikisha hakuna CD . wala DVD kwenye Drive , pia chomoa flash au extrenal wakati unaiwasha. pia ingia kwenye bios na uweke boot device ya kwanza kuwa internal HDD.
Pia enable FASTBOOT kwenye bios
 
Back
Top Bottom