Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Habari za mumda huu wapendwa wa Jamii Forums naombeni mnijuze gharama za vifurushi vya canal + sport manake nimeshindwa bei ya dstv ,NATANGULIZA SHUKRANI.
Vipi kwenye mfumo mmoja hupi huoHabari za mumda huu wapendwa wa Jamii Forums naombeni mnijuze gharama za vifurushi vya canal + sport manake nimeshindwa bei ya dstv ,NATANGULIZA SHUKRANI.