mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,182
Chombo cha anga - Space X CRS-9 ambacho kimebeba mizigo (cargo flight) kitatua kwenye chombo cha anga cha kimataifa - Internationa Space Station Jumatano, July 20 saa 5.30 ETD. Natumaini hizi ni saa za Marekani. Je itakuwa saa ngapi saa za kwetu huku?