kivuli utusitusi Senior Member Oct 21, 2012 153 242 Jul 13, 2016 #1 Recently nimebadili kasimu kangu, nimepata haka kanakorun ios version 9.3.2. Tatizo nimeshindwa kurudisha app ninayoipenda. Nimetafuta JF App for ios 9.3.2 siipat App Store. Is anything wrong?
Recently nimebadili kasimu kangu, nimepata haka kanakorun ios version 9.3.2. Tatizo nimeshindwa kurudisha app ninayoipenda. Nimetafuta JF App for ios 9.3.2 siipat App Store. Is anything wrong?
Dengue JF-Expert Member Dec 4, 2012 2,045 1,463 Jul 14, 2016 #2 Kweli aisee hata mimi siioni kwenye Apple Store
Prince Akeem JF-Expert Member May 26, 2013 884 376 Jul 18, 2016 #3 Jamaa wafanyie kazi hata mimi kwangu imepotea