MSAADA :Ntarudishaje picha nilizofuta kwenye SD CARD

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,372
54,909
Nilefuta picha bahati mbaya naombeni mnisaidie app nzuri ya kuback up picha zilizofutika kwenye SD CARD mwenye ujuzi anipe maana awali nilipata app ila ni trial.
 
Nilefuta picha bahati mbaya naombeni mnisaidie app nzuri ya kuback up picha zilizofutika kwenye SD CARD mwenye ujuzi anipe maana awali nilipata app ila ni trial.
Usipate presha Hilo tatizo dogo sana jaribu application hizi ni nzuri sana
1. wondeshare data recovery
2. Together share data recovery
 
Back
Top Bottom