dullynho
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 348
- 240
Jinsi ya kufufufa modem zilizokufa kwasababu ya kubadili firmware wakati wa kutaka kuifungua itumie mitandao yote vitu vinavyotakiwa kama vifuatavyo:-
1.drivers za huawei.
2.huawei repair modem
NJIA ZA KUFUFUA
1.Install huawei drivers
2.chomeka modem itafungua dashboard funga.
3.halafu fungua modem repair, itasoma kuna kitufe cha repair utabonyeza.
subiria imalize na itakua tayari.
link:Dropbox - Huawei Modem Drivers_v.4.25.11.00.zip