Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

THIS WAS ESTABLISHED BY MRS MARTHA DE PURENEZ, WHO DIED AT THE AGE OF 104, AND SHE SPENT 82 YEARS IN MARRIAGE, AND SHE SAID THIS. “I know that young ladies will never agree with me, but whoever...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sitataja jina wala majina lakini kama unasoma na kuucheza huu wimbo wa Bobby Caldwell na ukajihisi kuwa nimeu-dedicate kwako, basi kuna uwezekano mkubwa sana wewe ndiye mlengwa. Enjoy dear...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MPENZI WAKO ANA WIVU??KUZIDI HUYU?? .jpg"] Alikuja dada mmoja jana hapa ofisini kuongea kuhusu adha anayoipata katika maisha ya ndoa,akiwa na malalamiko kibao kuhusu WIVU wa mumewe?akasema...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Rafiki yangu wa karibu amenijia na shida yake, imenishinda nimeona niilete kwenu, nayo ni; Amebahatika kupata mali za kutosha, lakini bahati mbaya ana watoto wa kike tu, na mkewe amefungwa...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Hi wanaJF Mimi ni mwanaume, nimeoa miaka mitatu iliyopita. Kwa sasa nina miaka 32 ya umri. Mimi na mke wangu hatuna mtoto kwa miaka hiyo mitatu. Tatizo ni kuwa siku hizi nimeanza kuingiwa na...
0 Reactions
53 Replies
9K Views
MWANAMKE mmoja [jina kapuni] amelazimika kuchukua maamuzi ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake kutoka kazini ili kukwepa kumpa unyumba mumewe ambaye anadaiwa kutumia dawa za kimasai za kuongeza...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nusura nipost sehemu ya mwisho ya "Kumbatio" ndipo nimekutana na email ndefu yenye kunilalamikia na kunidokeza kuwa kisa hiki kimetokana na kisa cha kweli na kuwa yawezekana nimesimuliwa na mtu wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kipondo ninatolewa na ndugu za Mke. Huyo mwenye vazi Jekundu, makli kama nyuki ndo mamsapu mwenyewe.!!.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Siku za karibuni watanzania tumeanza kusikia kuwa sasa dada zetu wanaweza kuongeza makario,maziwa na kubadili mionekano yao kwa kutumia madawa yanayopatikana kwenye maduka ya vipodozi.Swala hili...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Closed
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Tafadhalini sikieni hiki kisa!!!!!!!!!! Mama alikuwa na watoto watatu na hana MUME (single parent). Mtoto wa kwanza ni wa kiume na ana baba yake, wadogo wawili ni wa kike na wana baba yao. Mama...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanawake wanajali (caring) na wanafahamu kupenda (loving), Wanawake hutoa machozi hata wakiwa na furaha, Wanawake hufanya hata vitu vidogo vidogo kuonesha wanajali, Wanawake huweza kusimama...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mtu ana mgeni wake,let say Garryson, Garryson ni mwenyeji,mgeni wake Let say ni Bakari. Sasa katika meza moja mwanzoni walikuwa Garryson na Bakari wakibadilishana mawazo ya hapa na pale, mara...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
I wanna pour some sugar and honey and then tongue you down like vanilla ice cream...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu? Kila napoangalia wanawake wengine wanapendwa na waume zao roho huwa inaniuma sana ,sio kwasababu naona wivu ila kwasababu nawaza kwanini isiwe mimi. Nimeolewa mwaka wa kumi...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Nasikiliza Leo tena ya Cloude FM; Mdau mmoja karipoti, eneo hilo limekuwa hatari sana kwa wawindaji; ukisimama tu na gari wanakuja mbio na kondom mkononi, na promo inapigwa kuna body...
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Unkutana na msg kama hii kwenye sms ya mumeo "mchana kutwa hujanikohoa, hulali tuu.lol", maana yake ni nini kwa kweye kuelewa hio misemo. Advice please
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Recently kumezuka tabia ya kuhalalisha sana kutoka na waume za watu au wake za watu. Tena bila aibu majigambo ya hao wagombea wenza ni kama, aah, yule anajuta kuoana na yule mwanamke/mwanaume, au...
1 Reactions
235 Replies
16K Views
Darling Nadhani sasa ni miezi inayokaribiana na mwaka tangu tumeanza uhusiano wetu wa kimapenzi.Ndani yake tumefaidi mengi kutoka pande zote.Tumejifunza mengi. Tumefanya mengi.Tumeona mengi...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Majuzi majira ya saa 1 jioni hivi katika moja ya vitongoji vya jiji la Dar,jamaa mmoja alipata mkong'oto wa nguvu.Mambo yalikuwa hivi: Jamaa huyo alikuwa amezaa na binti mmoja,kutokana na ukali wa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom