Swali la kizushi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la kizushi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiranja Mkuu, Jun 2, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi wadada wanapopiga makelele wakati wa tendo kuu je inaashiria nini?
  • wanasikia raha kuliko wanaume
  • wananakuseti ili umalize haraka
  • wanaumia?
   
 2. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Wewe ugunapo wakati wa tendo unaashiria nini

  a. maumivu
  b.utamu
  c.ujiko kwa mdada wa watu?

  Jibu lako ndiyo sahihi
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ujiko wakati dakika moja baadae mtarimbo utakuwa umelala doro?
  Ukiona naguna ujue ni maumivu na kutafuta mbinu kali za kujieleza kwanini nimemaliza haraka
   
 4. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 13,557
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  huwa sitaki kujua kwanini wanapiga makelele maana anaweza kukuvunja morali atakapokujibu kinyume na matarajio yako
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,816
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180

  Kwa hiyo weye ni wale bang! bang! bang! ding dang pruuuuuuuuuuu kwaheriteh teh teh hutaki kuapata review teh teh teh
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,729
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hizo ndiyo nyimbo za kitandani. Unataka mfanye kimyakimya tu? Kazi na muziki bana. Hata wazee wetu zamani wakati wakifanyakazi walikuwa wakiimba: mf. kwenye kulima, kuchunga ng'ombe, kukoboa/kutwanga nafaka, kupiga mtama/mpunga, nk. Nyimbo sasa (kwa staili yake) zimepiga hodi sasa mpaka kwenye privacy
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakurya kitandani utasikia baba akimwambia mama rara mshazari nikurenge......
  Halafu mama nae anaanza hapo hapo kusema unanigecha baba mwita....
  Kugecha ni kukata kwa panga......
  Baba mwita akimuuliza niache , mama anasema endelea....kweli hii mambo ni usanii mtupu
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,321
  Likes Received: 1,269
  Trophy Points: 280
  Yote matatu yanawezekana.
   
 9. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,210
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wanakua wanasikia raha.
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,370
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hahaha hii kali....
   
 11. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 1,959
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kweli swali la kizushi
   
Loading...