Wife alipotakwa na Dean of Faculty...

Ramos

JF-Expert Member
May 13, 2010
498
130
This is a true story...

Mwaka mmoja baada ya myfriend kupata 1st degree alioa na mwaka mmoja baadae alirudi chuo kupiga masters. At the same year wife wake aliregister for bachelor at the same faculty. Mwanaume alielewana na dean wa faculty anayosoma na one day alimtambulisha mywaif wake kwake walipokutana barabarani. Muda mfupi baadae dean alianza kufundisha first yrs, darasa analosoma yule waif. Hapo ndo mambo yalipoanza; dean akaanza kumtaka waif wa mwanafunzi wake (wa masters). Waif inasemekana kakataa na kuona zee halielewi kamtonya mumewe.

Mwanaume kaamua kuwa "muungwana" na kumuambia waif amkomalie, asimpe na tena amwambie kuwa ameshamsema kwa mumewe. Dean hajaelewa, akaendelea na usumbufu. Mwenye mke kaamua kuwa anachukua simu ya mkewe pale dean anpoanza ku-sms anajifanya ndo mke anamtukana na kumpaka dean ile mbaya lakini dean haelewi anabembeleza tu.

Dean anaamua kutumia chance ya m'mke kwenda field practical Arusha, kajipangia kwenda kusupervise huko ili anase ka-prey kake. Kwa bahati Dean anakosea mahesabu by the time anafika AR m'mke yuko Moshi, wanapowasiliana dean kamconvince kwa kila namna aende AR. M'mke anajifanya kakubali, ataenda next day kumbe kapanda gari kurudi nyumbani ambako anampa husband wake cm na kumuonyesha msg zote. This time jamaa akitumia cm ya mkewe anamzuga dean kuwa ndo anakuja AR, amekubali na anamuuliza wakutane hotel gani. Dean anafurahi anamwaga ma-msg ya kimahaba ambayo jamaa anaamua kutumia kama ushahidi. Anaamua kupeleka mashtaka kwa mkuu wa chuo (DVC) kushtaki dean na anamuonyesha msg zote.

Oooooooh, kumbe DVC nae walewale! Kesi ya fisi kula mbuzi anapelekewa Chui!!!!

Take care. Inaweza mtokea mwanaJF yeyote humu na pengine hatua za kuchukua zingeweza kuwa tofauti sana na huyu myfriend...
 
Duu hii kali, ila imefanana sana na hadithi za M.M Mwanakijij original!
 
Kwanini asingeingia kati na akamkanya Dean yeye mwenyewe? Mwanamke anapokuletea kesi kama hiyo wewe muewe utakiwa kupaza sauti na kumkoromea huyo dean aachane na mkeo, sio kuanza kutumia simu ya wife kumtukana. Haisadii, ipo siku mwanamke uzalendo utamshinda, na asimlaumu!
 
Takukuru wanaingia vp hapo mkuu? Usiovariakti mkuu.. Jamaa anataka akate kiu tu, hajasema atamfelisha huyu Graduate Student / Husband..Hawa ndio viungo-wakabaji mahiri kabisa hapa mjini..lol

Au basi ampe mara moja yaishe :cool:
On a serious note: Jamaa akubali kweka masters yake rehani amvae prof wake uso kwa uso., uanaume unakuja kabla ya masters.
 
Sema tu ni dean wa chuo gani mkuu maana hayo yamekuwa kama kamchezo ka kawaida kwenye vyuo vyetu, nani wa kulaumiwa? Mi naona wote maana hata hawa wanavyuo wetu huvaa nguo za mitego sana na mwalimu si malaika nae anapata mihemko, bali kuna wale wahadhili ambao hulazimisha penzi hio sio nzuri kiamaadili.Anyway inabidi tubadilike kwani inawezekana ngono kati ya walimu na wanavyuo kuondoka vyuoni.
 
Au basi ampe mara moja yaishe :cool:
On a serious note: Jamaa akubali kweka masters yake rehani amvae prof wake uso kwa uso., uanaume unakuja kabla ya masters.

That is the only way to go. He should beat around the bush. Amvae uso kwa uso na kuwambia aachane kabisa na mkewe. Na huyo dean atamuheshimu kwa hilo.

Au akifanya mchezo, wife mwisho atachoshwa na usumbufu na atamuua akubali yaishe.
 
This is a true story...

Mwaka mmoja baada ya myfriend kupata 1st degree alioa na mwaka mmoja baadae alirudi chuo kupiga masters. At the same year wife wake aliregister for bachelor at the same faculty. Mwanaume alielewana na dean wa faculty anayosoma na one day alimtambulisha mywaif wake kwake walipokutana barabarani. Muda mfupi baadae dean alianza kufundisha first yrs, darasa analosoma yule waif. Hapo ndo mambo yalipoanza; dean akaanza kumtaka waif wa mwanafunzi wake (wa masters). Waif inasemekana kakataa na kuona zee halielewi kamtonya mumewe.

Mwanaume kaamua kuwa "muungwana" na kumuambia waif amkomalie, asimpe na tena amwambie kuwa ameshamsema kwa mumewe. Dean hajaelewa, akaendelea na usumbufu. Mwenye mke kaamua kuwa anachukua simu ya mkewe pale dean anpoanza ku-sms anajifanya ndo mke anamtukana na kumpaka dean ile mbaya lakini dean haelewi anabembeleza tu.

Dean anaamua kutumia chance ya m'mke kwenda field practical Arusha, kajipangia kwenda kusupervise huko ili anase ka-prey kake. Kwa bahati Dean anakosea mahesabu by the time anafika AR m'mke yuko Moshi, wanapowasiliana dean kamconvince kwa kila namna aende AR. M'mke anajifanya kakubali, ataenda next day kumbe kapanda gari kurudi nyumbani ambako anampa husband wake cm na kumuonyesha msg zote. This time jamaa akitumia cm ya mkewe anamzuga dean kuwa ndo anakuja AR, amekubali na anamuuliza wakutane hotel gani. Dean anafurahi anamwaga ma-msg ya kimahaba ambayo jamaa anaamua kutumia kama ushahidi. Anaamua kupeleka mashtaka kwa mkuu wa chuo (DVC) kushtaki dean na anamuonyesha msg zote.

Oooooooh, kumbe DVC nae walewale! Kesi ya fisi kula mbuzi anapelekewa Chui!!!!

Take care. Inaweza mtokea mwanaJF yeyote humu na pengine hatua za kuchukua zingeweza kuwa tofauti sana na huyu myfriend...

uyo mwanaume atakuwa hana akili. kwani akimtokea dean na kumweleza ukweli kwanini anamfatafata mkewe anaogopa nini, wakati hata ushaidi anao kama wakifanya mbaya masomo yake? mimi ningemtokea na ningemuweka kiganjani hakika....hahaha, si mangumi kwasababu kupigana ni dhambi, ila angeniheshimu na kuniogopa kuanzia siku hiyo na angeenda kuwaambia na wengine.
 
Haya mambo yapo sana na wala si hadithi ila ninachokiona hapa jamaa anaogopa kuweka rehani M.A yake ndio maana akasuasua kumkanya den mpaka jambo likawa kubwa

Hat hivyo kunakitu kinanichanganya kama huyu dean ni mshikaji wake na jamaa wa mke kwanini basi hata hasiongee naye kishkaji?

Au kama vipi naye amtafute mke wa dean aanze kupiga jaramba ni kama alivyosema MwanaFA kuwa haipunguzi machungu lakini inarudisha heshima ya kiumeni
 
Kwa kweli sitaweza kumtaja ili kumtunzia kiasi kidogo cha heshima alichobakiwa nacho..

In addition, huyu dean ana history chaf ya kuchukua wake za watu. Miezi miwili iliyopita alivamiwa nyumbani na waliodhaniwa ni majambazi lakini baada ya kufanikiwa kuescape na kujificha kwenye migomba iliyopo kwenye Garden yake, jamaa waliondoka bila kuchukua chochote pamoja na mkewe kuwasihi wachukue hata magari, lakini wao wakadai walikuwa wamefuata roho ya mumewe kutokana na kutembea na mke wa mtu...
 
I cant take this, imekaa kinadhalia zaidi kuliko ukweli! Mkeo awe anatongozwa na wewe unajibu sms....basi huyo mke ni loose ! Inaamaana wale wengine wanaomtongoza na hakwambii huwa anakula nao uroda? Hakuna prof anayelazimisha mapenzi kwa nguvu hivyo. Huenda huyo mdada alitaka maksi za bure na mzee mzima akamwambia leta vituz
 
Aaargh...
Masa, tufanye hadithi yenyewe ni kweli......hivi mtu anataka kuingilia taasisi yako takatifu halafu unabaki kulalamika??? Nichezee kila mahali lakini sio kwenye holy matrimony.
 
Aaargh...
Masa, tufanye hadithi yenyewe ni kweli......hivi mtu anataka kuingilia taasisi yako takatifu halafu unabaki kulalamika??? Nichekezee kila mahali lakini sio kwenye holy matrimony.

Mkuu si ndo hapo jamaa analeta mzaha kwenye holy matrimony! Nashawishika jamaa ameweka utunzi zaidi kuliko uhalisia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom