Peaneni pole baada ya tendo la ndoa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,132
22,374
Wapenzi kila mmtu anajua umuhimu wa shuguli ama kazi na hasa kwa wapendanao
vyema akija mwenzio toka kazini mkapeana pole hny sijui sweet/darling/luv/nk
si haba ukiwa mnaanza shuguli vyrma mkimaliza mnapeana pole kwa kazi nzito ya kumfikisha mwenzio akafurahi na kuhisi yuko dunia nyingine kwa muda..hii inadhiirisha upendo wa pole aupo tu makazini bali hata vitandani na popote mlipo.....
Anza leo ..say pole hny/drln/swet/luv/..any
 
Kazi nzito ile mpwa kumfikisha mwenzio si mchezo wenzio wanakimbia na ndoa sababu hiyo uoni faraja
 
thought for food eeh ama kinyume chake aaah forget! Kwanza lugha yenyewe nimejifunzia kwenye mazoezi ya interview!
 
Pole ya nini sasa. Hii kazi ni ya starehe, si kazi kama ya kulima shamba. Nature ya shughuli ni kufurahishana. Neno HONGERA ndo lafaa, na si pole
 
pdidy umedata....pole ya nini????? mimi nikimaliza nageuka upande wa pili kama mzungu wa nne wa karata
 
1.kama mechi mmecheza vizuri na mmefunga magoli ya kiufundi kabisa.....baada ya mechi ni..'' asante sana sweet''
2.kama umecheza rafu,au mmechezeana rafu mbaya....baada ya mechi ni........''.pole sweet''
 
Jamani kweli duniani kuna mambo, yaani mi nilijua kuwa haya si ya kufundishana humu, mtu anajua mwenyewe, maana ni starehe ya watu wawili, then mkimaliza hamkurupuki kwa kukimbiana, maana mlianza kwa madoido mkiwa wawili, jamani, looh kumbe kuna watu wanatimuaga bila ...... looh! SALAAALE!!!
 
Vyote vya wezekana kupeana pole lakini inakuja wakati unampa mwenzio pole lakini hata kukujibu hakujibu so whats the point of saying pole? bora kimya kimya tu
 
........Inakuwaje pole tena, mie ninavyojua lile tendo ni la kupeana raha hivyo neno ahsante linastahili na si pole.
Useme pole kwani mmeumizana?
 
1.kama mechi mmecheza vizuri na mmefunga magoli ya kiufundi kabisa.....baada ya mechi ni..'' asante sana sweet''
2.kama umecheza rafu,au mmechezeana rafu mbaya....baada ya mechi ni........''.pole sweet''

hii nimeipenda sana..maneno mujarabu haya
 
Unasema pole kama umemumiza mwenzako yaani ikiwa ruff sana lakini never ahsante ! Kwani ni soup umekunywa ndiyo unasema ahsante.Nifikisha tuu hiyo ahsante tosha! Ngono inataka action sio maneno mengi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom