Fumanizi la Kihindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fumanizi la Kihindi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngoshwe, May 31, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kipondo ninatolewa na ndugu za Mke. Huyo mwenye vazi Jekundu, makli kama nyuki ndo mamsapu mwenyewe.!!.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hahahaa hicho kipondo,walahi hurudii....
   
 3. E

  Edo JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  ni moja ya ajali kazini
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  yataka moyo
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Du! Jamaa wamepondwa kweli
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mhh..kumbe wahindi nao wanavuma kwene hizi engo siku hizi.. Takwimu mpya zinaonesha India ndio inaongoza kwa watu wenye HIV duniani.
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hivi ngoshwe...umejuaje ni fumanizi? unaelewa hiyo lugha wanayozungumza?
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lugha ya fumanizi kwa wataalam si ngumu kuitambua. Ni fumanizi 100%
   
 9. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Lijamaa , Lapewa Talaka Tatu!!!!!!!!!!!Hah..haha..aaa, Wajua tena Kwa Wahindi, mke ndio hutoa mahari!!!!!!!!!!!!
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  sioni kitu haki ya nani tena
   
 11. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Unajua hata mimi kabla ya kuwaelewa wahindi kwa sababu ya mazoea ya kiswahili kutoa mahari ndio kuoa kwa hyo nilikuwa pia mwanamke ndio anaoa kwa wahindi lakini baada ya kukaa na wahindi ndio nikagundua jinsi wahindi walivyotupiga bao wanaume wengine wote maana wao bana mahari wanachukua kutoka kwa mke halafu wanaoa kama kama....
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Dadavua hapa mpwa
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  sema kweli?...duh....sasa itakuwaje?
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ......badala ya kutetea 'nyumba ndogo', kajishika kiuno! Mijitu mingine bana, sijui kwanini tu inakuwa na guts za kuonja onja wakati likibumburuka akili inaganda!
   
 15. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo maana yake wanaoa kwa maana uliyoizoea wewe. Yaani bado mume pamoja na kulipwa mahari anakuwa na mamlaka katika nyumba kama ambavyo anakuwa nayo mume wa kiswahili aliyelipa mahari. Nadhani umenipata hapo.........
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehehe mbona wanampiga kwa huruma kama wanamwogopa vile...
  Hapo mwenye kosa ni yupi aliye tongozwa au aliye tongoza?
   
 17. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mie nadhani ukifumaniwa unakuwa confused,hata kama ni baunsa unaweza pewa kipondo na mtoto mdogo kutokana na hali ya mshtuko unayokuwa nayo...:drum:
   
Loading...