Unyumba Kila Siku Wasababisha Aione Ndoa Chungu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
MWANAMKE mmoja [jina kapuni] amelazimika kuchukua maamuzi ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake kutoka kazini ili kukwepa kumpa unyumba mumewe ambaye anadaiwa kutumia dawa za kimasai za kuongeza nguvu za kiume. Mwanamake huyo ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya utengenezaji wa vinywaji vya cocacola,amekutwa na kadhia hiyo ambayo hajui itamuisha lini ambayo amesema inamkosesha raha ya maisha ya ndoa.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii, mwanamke huyo alisema kuwa mume wake amebadilika kitabia na amezidisha unywaji wa pombe.

Mwanamke aliendelea kusema kuwa mumewe anapolewa huwa mkorofi kupita kiasi.

Kubwa ya yote amesema kuwa anafanya maamuzi ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake sasa hivi kwa kuwa mume wake huyo amekuwa akionekana kupenda zaidi unyumba tofauti na miaka ya nyuma hali inayofanya achoshwe na zoezi hilo.

“Sikia yaani nilivyochoka hapa ngoja nikaekae hapa hadi masaa yaende kwanza, nikirudi nitamkuta ameshalala hataulizia tena mana nisikufiche nimechoka kila siku nakandamizwa inachosha”

Amedai kuwa akiwahi kurudi tu na kumkuta mumewe amesharudi basi ni kazi moja tu hadi uchwao.

Hata hivyo alidai kuwa huenda anahisi mume wake anatumia vilevi ama hizo dawa za kimasai zinazofanya awe na nguvu kupita kiasi hali ambayo inampa shida na kutamani kuchelewa kurudi nyumbani kwake.

Amesema ameishaishi na mume wake huyo kwa miaka sita sasa na wamebahatika kupata watoto wawili mapacha wa kike na kiume ambao kwa sasa wana umri wa miaka miwili na nusu.

:becky:
 
Sasa tatizo ni nini? Au wameoana kwa ajili nini ?kama amekeketwa amwambie mwenzake ...,mambo yenu ya ndani ya nyumba unayaweka kwa waandishi?sijawahi kuona [ni gazeti gani>?] ,je mume angekuwa ana jogoo asiyepanda mtungi angesema?mhh
 
Penye miti hapana wajenzi ,wamama wenzake wanatafuta hii kitu na ndio inayofanya vijana wanapata ajira zisizo rasmi kwa shuga mummys.
 
Penye miti hapana wajenzi ,wamama wenzake wanatafuta hii kitu na ndio inayofanya vijana wanapata ajira zisizo rasmi kwa shuga mummys.

hahaha, umenena mzee,wengi wanalishwa siku hizi. cha ajabu wakifika muda wanataka kuoa vijana wenzao, hawa wamama watu wazima wanawafanyia visa vya ajabu ajabu,..sasa si utumwa huo? yeye ujana alikula na nani kishazeeka anataka kunipunja mimi kijana? akatafute wazee wenzie huko.
 
Penye miti hapana wajenzi ,wamama wenzake wanatafuta hii kitu na ndio inayofanya vijana wanapata ajira zisizo rasmi kwa shuga mummys.

Kweliiii!!!!, Hii kazi imefanya Vijana wengi kuona Majuu. Mi naona Huyu mama kamkejeli Mzee kuwa hawezi, nae mzee akaamua ngoja nitamkomesha!!!
 
nna siku ya tatu leo na dozi ya kiliriti sijui itakuwaje kwa girlfriend wangu!
 
huyu mama mwongo, could be ana jamaa nje ya ndoa, she is just justfying is action kwa kumsingizia mumewe. Ikiwa hawezi amruhusu mumewe kutafuta mwingine wa nje.
 
Huyo mwanamke ana matatizo aliposikia ndoa alidhani ni kwenda kulala na kua tu? Hiyo ndio shughuli muhimu anayotakiwa kupata...heshima debe hapo!!:peep:
 
Mhhhh jamani labda na baba nae hana staha wala hamtayarishi mama bwana, ile kitu mama's wanaipenda kuliko taarab bwana
 
Back
Top Bottom