Dedication....What You Won't Do For Love | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dedication....What You Won't Do For Love

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Jun 2, 2010.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Jun 2, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sitataja jina wala majina lakini kama unasoma na kuucheza huu wimbo wa Bobby Caldwell na ukajihisi kuwa nimeu-dedicate kwako, basi kuna uwezekano mkubwa sana wewe ndiye mlengwa. Enjoy dear....  Na kama unajiuliza huu wimbo nimewahi kuusikia wapi....huu ndio wimbo ambao Tupac aliu-sample kwenye kile kibao chake cha "Do For Love"  NB: Wangapi mlijua mtunzi na mwimbaji alikuwa mzungu? Bila kumwona kwenye video na ukisikiliza sauti yake tu unaweza kudhani jamaa ni mnugu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...