Kuongeza ukubwa wa mauno na maziwa: Tunazuia au tunatangaza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuongeza ukubwa wa mauno na maziwa: Tunazuia au tunatangaza?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rugas, Aug 12, 2009.

 1. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Siku za karibuni watanzania tumeanza kusikia kuwa sasa dada zetu wanaweza kuongeza makario,maziwa na kubadili mionekano yao kwa kutumia madawa yanayopatikana kwenye maduka ya vipodozi.Swala hili limezua mjadala hasa pale Mamlaka za umma km vile MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA kuanza kuzuia madawa hayo na kusema yana madhara kwa binadamu.

  Hapo ndipo yanapozuka maswali mengi miongoni mwa watanzania;

  1.Je hapo mamlaka na vyombo vya habari vinazuia au vinawafahamisha
  wadau kuwa sasa mnaweza kujibadilisha na kupendeza?

  2.Je mbona hizi mamlaka hazijazuia madawa ya kuongeza ukubwa wa
  uume,ambayo pia yanasemekana kuwa na madhara na yanatangazwa
  mpaka kwenye maTV? Huku si kupendelea upande mmoja na kuacha upande
  mwingine uangamie?

  3.Je madawa haya yanapita wapi,mpaka yasambae nchi nzima?Kuna udhibiti
  hapo kweli?

  4.Njia hizi si zinatumika pia kuzuia madawa ya kulevya na vingine
  haramu,mbona hakuna mafanikio?

  5.'UVUTAJI WA SIGARA UNAZURU AFYA YAKO' basi pia tuandike UTUMIAJI WA CREAM HII UNAZURU AFYA YAKO,turuhusu watu watumie km tulivyoruhusu sigara huku tukijua zina madhara makubwa..

  6........................

  7.........................

  8.......................

  Maswali ni mengi,yakijibiwa tutakuwa tumefanikiwa katika hili..
   
 2. Violet

  Violet Member

  #2
  Aug 12, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri wanahitaji Brain Transplant kabla ya kuanza kuongeza maziwa, makalio n.k

  Wajiadhari na madawa ambayo yako kwenye majaribio bado lol!
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mimi ninafikiri ni sahihi kwa serikali kutangaza madhara yake kwani bila kutangaza watu wengi wanawezakuangamia kwa kuwa hawakujua madhara. Ndiyo kwa namna nyingine ni kama kuzitangaza zaidi dawa hizi lakini mtu akiamua kutumia baada ya kutangaziwa madhara yake basi hatalaumu yeyote zaidi ya nafsi yake.

  Ila sasa serikali isiishie kutangaza madhara tu bali ijizatiti katika kudhibiti uingizaji wake ili kuokoa wananchi wake.
   
 4. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pamoja na kuwa TDFA wanajaribu kunusuru jamii na madhara ya madawa inakuwaje madawa ya kubadilisha ngozi hayakufanyiwa jitihada za namna hii? akina dada wengine wamekuwa weupe kama karatasi. Jitihada zifanywe kuzuia uingizaji wa dawa hizo. Bandarini na airport kuwe na xtra uangalizi.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua hii inachangia sana na sisi wanaume kupenda vitu flani flani kama mimi mpenzi wa mawowowo sasa anatokea shori kimiss au portable ananipenda sana lakini kwangu mimi naona hana kiwango na vigezo nampiga chini atakacho fanya anatafuta dawa hizo za mchina baada ya miezi 2 anakuja kwa mzee fidel dah mazee teh teh teh si mchezo lazima anipagawishe na kunirusha roho unashangaa unatoa 70,000 kwa wiki kwa ku-retouch nywele.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  jamaa yangu f angependa awe AUTHORIZED AGENT/SIPPLIER wa haya madawa ya makalio!hahahahahahah
   
 7. G

  Godwine JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni wanaoruhusu madawahaya kuingia nchini na kuharibu watu wetu
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mie nilidhani wanaingia kwenye opareshen kama south America:target:
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  May 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  South America wanafanya haya mavitu? that explains wale wadada wa Brazil..
   
 10. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,828
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
   
 11. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Yaap ni fani yao kubwa haha haha we unafikiri Brazil na Venezuela wamezaliwa vile??? im planning to visit soon:behindsofa:
   
 12. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kaaaaaaazi kwelikweli
   
 13. Lisa

  Lisa JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 1,568
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kama kuna anayefahamu wapi yapo ya kupunguza makalio , mm natafuta maana yamezidi. na mm nataka kuwa Miss. Pls Fidel nasikia wewe ni supplier wa dawa za kuongeza mm nitafutie ya kupunguza . ni oder maalumu.Hahahaahahaahah!
   
 14. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Na dawa za kurefusha maumbile ya kiume na za kuongeza nguvu za kiume?
   
 15. j

  jhaule Member

  #15
  Jun 1, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wasaidie ushauri waache ,kuna mazara sana baadae
   
 16. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi kumbe watu huko bongo wanataka kuzidisha mauno sio kupunguza kama wanawake wengine.... I wish I could think that way....
   
Loading...