Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani ukitoka kupiga kura za uchakachuaji kwa kuwa matokeo yenyewe hayatabiriki jipuzishe na mikono ya mungu kama hii hapa
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna mambo mengi yanayoaminika sana katika jamii zetu na huwapa watu mashaka. Nimejaribu kuweka hii list. Naamini wengine wataongezea. Kuhusu mambo ya uzazi: 1. Wazazi wakifanya tendo la ndoa...
0 Reactions
124 Replies
14K Views
Majuma matatu kutoka sasa mtoto wangu anayesoma elimu ya chechechea ataadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Kasema mwaka huu hataki zawadi wala keki, anataka aende kumtembelea Raith Kikwete...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Wadau, mabibi na mabwana… Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility…. Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya...
0 Reactions
189 Replies
12K Views
huko sinza jana tu katika baa fulani,,yule anayedai kuibiwa mke na dr slaa,,amezomewa na hata kunusurika kupokea kipigo,,,kujinusuru ilibidi atoke spidi maeneo hayo,,,nimeamini watanzania...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ancentus Akuku maarufu kwa jina la "Danger" akiwa na baadhi ya wake zake enzi za uhai wake Mwanaume wa nchini...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Its kinda long but knowledgeable...... No.10 - Forget how to be a man When it comes down to it, most men just don't misunderstand women, they don't understand men either. Most guys have no...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF? Kinachonifanya niulize hivi ni kuna skendo imetokea ofisini as follows; Wafanyakazi wenzetu wamekutwa wakila uroda ofisini muda wa lunch, sie twaenda lunch wao wanajifanya wako...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi haya mambo ya pete ya uchumba yalianzia wapi na maana yake nini? Ni lazima kumvisha mchumba pete ya uchumba (engagement ring? Kuna dada mmoja aliona vidume vinamzingua akanunua pete akampa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
It can spoil more than your social life Bad breath will kill your social life, so it's reasonable that you should figure out what may be causing it. Some causes, like spicy foods, are easy to fix...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
i tried to pull her before yes, she really played hard i try to write for her before yet she really played dead! i finally saw those eyes, i saw them in three colours the first colour was blue...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Huu wimbo una mashairi safi sana- I dedicate it to all JF Ladies Chorus Cheusi Mangala usibadili mwendo huo Mangala eehe Mangala eehe Binti Afrika Verse Kila kwenye chombo baharini kuna...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Is the answer right?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii nimeibamba mahali nimecheka sanaaa nikaona tusheee kidogo hapa Marriage: A legal or religious ceremony by which two persons of the opposite sex solemnly agree to harass and spy on each...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni mara ya kwanza kuandika hapa JF lakini nimekuwa nikisoma mara kwa mara post nyingi hasa kwenye hili jukwaa nimetokea kuvutiwa na post ya baadhi ya members na pia ningependa siku moja niwaone...
0 Reactions
200 Replies
13K Views
Hivi huyu mtu anayekwenda kwa jina la Pape amepotelea wapi????? Au ameshachakachuliwa nini?????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku za hivi karibuni nimekumbana na kisa hiki. Rafiki yangu ananiambia mke wake hataki kushiriki nae kisa ananyonyesha. Hoja yake ya mke ni myth iliyoshamiri ndani ya jamii kwamba sperms huchafua...
0 Reactions
55 Replies
13K Views
Nimepata swali nikaona si vibaya wana JF mkanisaidia.Nina jamaa yangu ana miaka 34.Siku moja huyu jamaa alikwenda kumtembelea dada yake anayeishi kama 50km toka kwake.Alipofika huko akakutana pia...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
JAMANI HAWA MABAZAZI NAO WANA HAKI ZAO??LOH NIMEONA HII WAKILALAMA HAKI ZAO KENYA
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Leo wakati wa chakula cha mchana nikatoka na kabinti kamoja kageni kametoka chuoni siku za karibuni kwa ajili ya kupata mlo wa mchana. Tukaenda florida pub na kuagiza mexican chicken na chips...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Back
Top Bottom