Ninamtaka ila Naogopa!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,510
8,445
Jamani mimi nina Demu mmoja nilikutanishwa naye kwenye maswala ya bihashara ila wakati huo nilikuwa na interest na huyo aliye nipeleka Baada ya kukutana na huyo Demu nimzuri biashara ikafanyika na akaonekana ni dada anayejali mimi roho ikawa inawaza!siku zikasogea akaniambia matatizo yake ya yandani tukawa tunatumiana na email za majambozi!Lakini kwa jinsi yunavyoheshimiana naogopa kuharibu uhusiano wetu!nashida yake anashida yangu hadi mzazi wake alipotambulishwa akaona mimi ninajali akaona nirafiki wakweli!ila sasa dada nimzuri acha namtamani kumwambia naona soo!Je nini nifanye ukweli nampenda!nayule aliyenipeleka tunawasiliana lakini mimi moyo umehamia kwa huyu zaidi na vizuri yupo arusha hanitii wasi!Hila huyu!!!:A S 8:
 
Weee mtokee tu...the worst that can happen is for her to say no....which doesn't kill you!!
 
My worrys wat if??akisema sikukutegeme utaniambia maneno hayo??unatokea mlango gani??hakuna rangi utaachaona!:A S 2152:
 
Huyo ni shetani tu amekutawala anataka kuvuruga mahusiano yenu kama dada na kaka. Hebu jaribu kuushinda huo udhaifu. Wazuri ni wengi na wanazaliwa kila siku. Utabadilisha wangapi?
 
kama lengo lako ni kumuoa na si kumuchezea, mwambie hivi dada mimi umri wangu unakwenda na wewe unakwenda na kazi mnayofanya mda huu mna nguvu na faida mnazopata ingefaa muanze maisha mapema, mimi sina mtu kwa sasa na natamani kuoa vipi mwenzangu una mtu na lini unataka kuolewa? naomba tuwe wote kama inawezekana, usinielewe vibaya mimi nimekupenda kwa tabia mda wote tuliokaa pamoja kama marafiki nimeona wewe ndo unanifaa. Wakati huo unamwangalia usoni, usiharakie kumgusa halafu onyesha kuwa uko makini kueleza suala hilo na umedhamiria kweli. kama anamjua mwingine mwambie maisha ni safari ndefu haitaki maamuzi ya haraka ambayo itagharimu baadaye, nimeona wewe ndo unanifaa, amini nisemayo.

Kila la kweri.
 
Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!
 
Huyo ni shetani tu amekutawala anataka kuvuruga mahusiano yenu kama dada na kaka. Hebu jaribu kuushinda huo udhaifu. Wazuri ni wengi na wanazaliwa kila siku. Utabadilisha wangapi?
Hapana we badilisha tuuu usilete UTANI na kuishi na mtu ambaye humpendi, KAMA UNAMPENDA MWAMBE TUU!
 
icon1.gif

Re: Ninamtaka ila Naogopa!

Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!
Unataka tukushauri uzinifu.............loooooooooooooooooooooooooooooooh................sasa kama una wa kwako na yule mwanamama ana wa kwake sasa hizo tamaa za mzee fisi za nini? Greed and envy will destroy your happiness............My advice is STAY AWAY...............
 
Kumbe wewe umeoa na yeye ameolewa huoni kama huo ni uvurugani wa ndoa ya mwenzio? Kwanini huridhiki na mkeo? Huyo ni shetani tu amekutawala.
 
Jamani mimi nina Demu mmoja nilikutanishwa naye kwenye maswala ya bihashara ila wakati huo nilikuwa na interest na huyo aliye nipeleka Baada ya kukutana na huyo Demu nimzuri biashara ikafanyika na akaonekana ni dada anayejali mimi roho ikawa inawaza!siku zikasogea akaniambia matatizo yake ya yandani tukawa tunatumiana na email za majambozi!Lakini kwa jinsi yunavyoheshimiana naogopa kuharibu uhusiano wetu!nashida yake anashida yangu hadi mzazi wake alipotambulishwa akaona mimi ninajali akaona nirafiki wakweli!ila sasa dada nimzuri acha namtamani kumwambia naona soo!Je nini nifanye ukweli nampenda!nayule aliyenipeleka tunawasiliana lakini mimi moyo umehamia kwa huyu zaidi na vizuri yupo arusha hanitii wasi!Hila huyu!!!:A S 8:
Nipe mie...
 
Yeye anabwana wake wanaishi ila wenye maisha mazuri mimi nimeoa!!

we vp km ana bwana na ww unamke sasa ye unamtaka ya nini.bila shaka pepo linakusumbua...nenda kanisa la ufufuo ubungo watakusaidia
 
Duuh lakini mkuu kumbe we mzinifu!! ubetter stay with ya family dis things ar nothing 2 ya.
 
Safarii KK huo mshariba mpaka ukonde kama uzi wa kushonea........ jokin ........... we mlie tyming to na tena ushapewa na sifa kibao .......... Ila angalia hawa aki-Petra saa zingine wanaweza kuwa wanawasiliana halafu ukakosa kote ..................:lying:
 
Safarii KK huo mshariba mpaka ukonde kama uzi wa kushonea........ jokin ........... we mlie tyming to na tena ushapewa na sifa kibao .......... Ila angalia hawa aki-Petra saa zingine wanaweza kuwa wanawasiliana halafu ukakosa kote ..................<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/lying.gif" border="0" alt="" title="Lying" smilieid="221" class="inlineimg" />
Tena huyo preta!!!!
 
Kwani ukioa hisia zakupenda zinakufa??kwa taarifa mpenzi niyule uliyenaye ninani hajawahi kusalti?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom