Kompyuta kicheche

Ferds

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
1,267
Likes
27
Points
135

Ferds

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
1,267 27 135
hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa< tehetehetehe............................., hadi copyuta haitaki vibamia, sasa wenye vibamia kwishney, itafikia hadi mikona nayo inakataa vibamia wakati wa m********B*********N
 
Joined
Oct 19, 2010
Messages
51
Likes
0
Points
0

KICHAPO

Member
Joined Oct 19, 2010
51 0 0
Mie ninayo ya kutengeneza madodoki,jichanje chale kwenye huyo jamaa yako kisha kachanje dodoki ambalo ni changa halafu changanya majimaji ya dodoki na damu ya huyo jamaa yako(unachukua kwenye dodoki unajipaka na unatoa kwako unapaka dodoki).Kila siku kagua lile dodoki hadi lifikie size uitakayo.Ukisahau kukagua itakula kwako maana laweza kukua hadi ikawa kero(kumbuka dodoki likikua jamaa naye anakua,unene na urefu).Ile size ikifika unalikata lile dodoki ili lisiendelee kukua."UWE MAKINI"
 
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
262
Points
160

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 262 160
Mie ninayo ya kutengeneza madodoki,jichanje chale kwenye huyo jamaa yako kisha kachanje dodoki ambalo ni changa halafu changanya majimaji ya dodoki na damu ya huyo jamaa yako(unachukua kwenye dodoki unajipaka na unatoa kwako unapaka dodoki).Kila siku kagua lile dodoki hadi lifikie size uitakayo.Ukisahau kukagua itakula kwako maana laweza kukua hadi ikawa kero(kumbuka dodoki likikua jamaa naye anakua,unene na urefu).Ile size ikifika unalikata lile dodoki ili lisiendelee kukua."UWE MAKINI"
Heeee!!!! Haya makubwa
 
bacha

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2010
Messages
4,335
Likes
4
Points
135

bacha

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2010
4,335 4 135
Mie ninayo ya kutengeneza madodoki,jichanje chale kwenye huyo jamaa yako kisha kachanje dodoki ambalo ni changa halafu changanya majimaji ya dodoki na damu ya huyo jamaa yako(unachukua kwenye dodoki unajipaka na unatoa kwako unapaka dodoki).Kila siku kagua lile dodoki hadi lifikie size uitakayo.Ukisahau kukagua itakula kwako maana laweza kukua hadi ikawa kero(kumbuka dodoki likikua jamaa naye anakua,unene na urefu).Ile size ikifika unalikata lile dodoki ili lisiendelee kukua."UWE MAKINI"
Hii imekaa kishirikina zaidi, au siyo????/
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,310
Likes
38,165
Points
280

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,310 38,165 280
Bacha, sayansi hizo za mababu. Ingekuwa ni ushirikina ungesikia habari za njiwa mweupe hapo
hii imekaa kishirikina zaidi, au siyo????/
mie ninayo ya kutengeneza madodoki,jichanje chale kwenye huyo jamaa yako kisha kachanje dodoki ambalo ni changa halafu changanya majimaji ya dodoki na damu ya huyo jamaa yako(unachukua kwenye dodoki unajipaka na unatoa kwako unapaka dodoki).kila siku kagua lile dodoki hadi lifikie size uitakayo.ukisahau kukagua itakula kwako maana laweza kukua hadi ikawa kero(kumbuka dodoki likikua jamaa naye anakua,unene na urefu).ile size ikifika unalikata lile dodoki ili lisiendelee kukua."uwe makini"
 
KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,633
Likes
2,445
Points
280

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,633 2,445 280
Mie ninayo ya kutengeneza madodoki,jichanje chale kwenye huyo jamaa yako kisha kachanje dodoki ambalo ni changa halafu changanya majimaji ya dodoki na damu ya huyo jamaa yako(unachukua kwenye dodoki unajipaka na unatoa kwako unapaka dodoki).Kila siku kagua lile dodoki hadi lifikie size uitakayo.Ukisahau kukagua itakula kwako maana laweza kukua hadi ikawa kero(kumbuka dodoki likikua jamaa naye anakua,unene na urefu).Ile size ikifika unalikata lile dodoki ili lisiendelee kukua."UWE MAKINI"
Ukilikata nayenyewe ikakatika??nakupataje maana tumekuta JF!!Mwongozo tafadhali!
 
Zneba

Senior Member
Joined
May 12, 2010
Messages
192
Likes
0
Points
0

Zneba

Senior Member
Joined May 12, 2010
192 0 0
hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa< tehetehetehe............................., hadi copyuta haitaki vibamia, sasa wenye vibamia kwishney, itafikia hadi mikona nayo inakataa vibamia wakati wa m********B*********N
hahahahahahahahahahahahaha ferds umenifanya nicheke mpka basi sina mbavu jamani uuuuuuuwi mbavu zangu
 
Joined
Oct 19, 2010
Messages
51
Likes
0
Points
0

KICHAPO

Member
Joined Oct 19, 2010
51 0 0
Kaka Kiiza ukilikata haikatiki,maana ya kulikata ni kwamba umeridhika na ile size ili isiendelee kukua shauri yako ukiliacha maana si unalijua dodoki lilivyo!Wala hakuna ndumba hapo!
 
Joined
Oct 19, 2010
Messages
51
Likes
0
Points
0

KICHAPO

Member
Joined Oct 19, 2010
51 0 0
Bacha si kila dawa ya asili ni ushirikina: Kwanza ujue kwamba hakuna kitu ushirikina ila hao wadhungu wako ndio walio tulet down,ukihara siku moja kunywa maji ya madafu hiyo ni drip original,ukishikwa na upele au fangas kaogelee baharini kama masaa mawili hivi(siku moja nilienda Mnazi mmoja hosptl hapo DSM kuriport fangas waliokuwa wananisumbua Dr akanipa vidonge 30 nimeze kimoja kwa siku kama vile vya kuzuia mimba nikachomoa nikaenda pale Mikadi Beach Kigamboni nikakata mawimbi baada yahapo fangas kwisha kabisa).Hao wadosi wanamodify tu mitishamba yetu.Fuatilia habari za shubiri ilivyopata umaarufu(aloe) bibi alikuwa ananiogeshea ile kuna watu tunaishi miaka mitatu, minne hakuna malaria wala mafua.
 
Forum statistics

Threads 1,203,306
Members 456,700
Posts 28,108,448