Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010,
Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa...
binadamu tunajisahau sana kwamba hapa duniani tunapita na kwamba ipo sehemu nyingine tunaelekea.
mfano unakuta mtu yuko ktk vita inayoweza hata kumwaga damu na jirani yake kisa nusu hatua ya mpaka...
((""Many people think that they can make a perfect life for themselves in this world. They think that if they can acquire enough material possessions, they will experience total personal...
Je, wewe ni mwanamke na umeolewa???!!! Je, wewe ni mwanamume na umeo???!!! Kama jibu ni ndio, fungua hapa Haki Za Mume Na Mke | Alhidaaya.com ili usome na uelewe nini wajibu wako kwa mumeo/mkeo na...
Enzi zetu zile nakumbuka 1994 nilikuwa form II sasa leo nimekutana na hii barua niliyoaandika kwa mpenzi muone jinsi tulivyokuwa tunatongoza kwa shida sana maana hakukuwa na Simu wala mitandao...
Kama umewahi kufunaniwa unamega amri ya sita na mke/mume wa mtu si mbaya ukitoa experience yako, huwa inakuwaje?
Je, ulitamani ardhi ipasuke?
Je, ulimtishia mgoni wako ku-fight back?
Je...
Wanakwaya waliookoka wasio na ndoa wanapataje mimba?
Maana ukiwasalimia dada mambo? Utawasikia wakijibu mambo kwa yesu.
Lakini cha kushangaza na kusikitisha ni mabingwa wa kubeba mimba kabla ya ndoa
leo nimekutana na rafiki yangu alonieleza limenishangaza kwamba mke wa mtu anamwomba awe boyfriend wake na anamwomba asije kumtenda kama mme wake alivyomtenda na alipojaribu kumdadisi ni kwamba...
Wapwaz na mabinamuz, weekend hii nimeona niwakumbuke kwa ujumbe huu kutoka kwa Jangalason, kwa wanandoa na wale wanaotarajia kuingia kwenye ndoa siku za karibuni.
Kwa wale infidels wote nafikiri...
Kuna tetesi kuwa huyu mwanadada anaekwenda kwa jina la Rehema Chalamila aka Rey C, amecheza movie ya X Nchini Kenya, je wanajamii tetesi hizi ni za kweli.
Naomba kuwasilisha tetesi hii kwenu.
A LITTLE OLD lady entered in her sons house and found a lad of four in sole possession, plating with his toy train.
"You don't know me," said the old lady, "but I'm your grandmother-on your...
anahitajiushauri
"Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 32, ninafanya kazi hapa Dar es Salaam. sasa tatizo lililonileta hapa leo ni kwamba ningependa sana kuolewa na ninaomba Mungu anipe Mume mwema...
wana jf mtamsaidiaje huyu mdada.........??
Me ni msichana mwenye umri wa miaka 27 have been dating a man for about miaka minne now, my boy friend is very good looking and very attractive...
Leo usiku jirani yangu katoa kichapo cha nguvu kwa mwamamke wake (nyumba ndogo yake). Mwanamke kapiga mayowe kuwa jamani nisaidieni nakufa. kweli watu tukatoka mbio na tulipofika tukakuta mwanamke...
Yonni Barrios (50)
Huyu bwana alikuwa ni miongoni mwa wale wahanga wa Chile waliokwama mgodini kwa siku 69. Alipoopolewa kitu cha kwanza alienda kumbusu hawara yake badala ya mkewe aliyezaa...
Nina umri wa miaka 36 sasa, na jina langu halisi ni "FATAKI". Sasa kutokana na matangazo yanayotolewa na taasisi mbalimbali zinazohusika na haki za binadamu, ukimwi, nk, nimeshindwa kumpata...
Pamoja na wadau wa kupambana na vvu kuibidiisha jamii iepuke ngono zembe yaelekea kizazi hiki kina laana fulani mbona hakisikii la mkuu?
Tena hakiogopi kuvunjika guu? Kuna nini?
Kasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.