Mapenzi ya Internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ya Internet

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanaHaki, Nov 15, 2010.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  Hivi inawezekana kweli watu wakafahamiana kupitia Internet, kisha wakaelewana mpaka wakaonana, na wakapendana mpaka wakaoana? Inawezekana?
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasiweze?
   
 3. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mwanahaki inawezekana kwa wengi huanzia hapo na kwakifupi mimi na shemlako tuna miaka mitano tulianzia kwenye sim kwa kukosea namba nilkuwa nje ya nchi nikakosea namba sautiniliyoiskia hapo nisriyangu nikaingiza fos king mwanzo anarusha nikipiga nakatiwa sim mara ina pokelewa nawekewa mziki hakuna mtuanaeongea mzee nkifiria sauti nakaseama hapa hatanikitumiwa polis hainashida nikanza SMS kaka nilitafut web zote za love cad nikawa natukanwa nikatumiwa msg toka kwa zakuonwa kama ntaendelea nitaripotiwa lakini mungu alisha weka sababutu ikatokea sikumoja nikatumia sim ya nijani nakuomba msamaha lakini nikajitambulisha kuwa sina nia mbaya tukanzakuongea mwisho wa yote mazee nikahamisha jumla sasa tuna mtoto wikike na mtarajiwa yupo njiani tunategemea mungu akitujalia na tunapendana kupita maelezo mtani kwetu wametupa jina la kumbikumbi kwakua kila sehem tupo benet mkuu kumkosa mwenzio hawezekani na nashukuru mungu jinsitunavyo ishi naupendo
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  prof. wangu aliwahi kunambia distance love ni ngumu saana, but mkifanikiwa hadi kuja kuishi pamoja, that will add unique spice in your life.

  back to topic, yep inawezekana but kuwa muangalifu.. saana
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Inawezekana sna ndo maaana kuna dating site... but kuwa mwangalifu
   
 6. D

  Derimto JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ntinginya nimeipenda hiyo hiyo na ina mvuto wake mpe hongera yangu shemeji na amwage ka ujembe JF. Ila nadhani kila mtu amepangiwa mwenza wake kwa njia mbalimbali ila kwa upande wangu mimi nadhani nikimtongoza mwanamke kwenye simu nammudu na kuelewana naye haraka kuliko kumnyelea sana na zaidi sana nikisafiri na mtu naogopa hata kumsemesha maana kitakachoendela ni kitu nisicho kitegemea maana tunaweza kuanza mahusiano ya ghafla mno.

  Hivyo tukirudi kwenye mada nataka kumwambia dada yangu kuwa yanawezekana mapenzi ya waya kama utakuwa mwangalifu zaidi usije ingia chaka ila hautakuwa umejua mambo yake mengi kama wewe ni mdadisi wa personal life ya mpenzi wako
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Inawezekana but you have to be careful
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,251
  Trophy Points: 280
  Pia wakaachana kupitia internet
   
 9. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyo Prof. si kwamba anajua yote, ila kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta namba inayofanana na ile aliyonayo, akampata mdada wakati wa kujaribu.

  Waliwasiliana hadi leo hii wanaishi wote, na wanaraha ile mbaya yaani hadi mimi napenda their relationship.
  Mapenzi hayana kanuni, waweza kuoa nyumbani kwa uchumba wa miaka 10 bado mkakaa kwa makofi kibao, au mkakutana njiani mkaishi kama malaika. Ni uaminifu na" Art of Love"
   
 10. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nimeipenda hii stail natamani ingekuwa mimiiiiiiii,mmh i wish i wish i wish it.....
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red sijakusoma vizuri!!
   
 12. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
   
 13. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu salamzako ntazifkisha lakini kumletahapa amwage kaujumbe ngum akizoea kina KAKAKIIZA wataniharibia ndoa
   
 14. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakuchakachua usije kufanya ufisad kwa shem wako mkanishakashua kama
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  :doh::doh::doh::nono::nono::nono:Wanakutisha bure!!!
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  :doh:Umeniacha Hapo kwenye red msamiati mpya??tafadhali!
   
 17. M

  Miss Pirate JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inawezekana. Jaribu uone ila usinogewe na pia jihadhari na wapopo
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Its possible....play your part...:tape:
   
 19. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :nono::nono::nono: najiweka pembeniiiiiii kuepushaaaaaaaaaa.....msongamano mie.
   
 20. w

  wikama Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakati wakionana ndo kila mmoja anaweza kumpenda mwenzake kwa dhati au la, kabla ya hapo kila mtu anakuwa na wasiwasi na mwenzake, hivyo nasema inawezekana sana tena sana na mkapendana kuliko unavyodhani !
   
Loading...