Upatapo mpenzi je..?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,630
8,712
Wewe kama mwanadamu unadhani siku tukidetiana ungefurahi nikikufanyia nini??
 
hahahahahah lol usianze ku count down sasa....
maana siku 47 ni nyingi sana ......

:focus::focus::focus:Sawa mama mi siku tukikutana naomba unitayarishie konyagi kubwa tatu,sigara paket mbili,na tundumu hata tuwili just for the first date.
 
Second date wala sitakula sana ,kitimoto kilo sita tu na safari laga kumi na tano.

hahahahahahahahahahah lol duuhh sijawahi kwenda kwenye date na paka ....... this is gona b very interesting i cant wait hahah lol... hutakula sana ila utakula kilo sita ya kiti moto mmmhhhh hii kali...
 
1189_animal.JPG

Usiwe na hofu na shaka ondoa maana paka ni viumbe wenye akili sana siku utakapotoka naye japo date moja tu you wont regreat na utatamani uwe naye milele.
 
hahahahhahahahahahah lol sijui kuhusu milele but its a date ..... lakini make sure u turn up... coz i will be very upset mi niwe nimekaa hapo peke yangu na kiti cha pili kiko empty........ lol
 
Mda nimekupa ila nahisi mda wako kautumia PM kwa maswala binfsi!!!!!
 
hahahahhahahahahahah lol sijui kuhusu milele but its a date ..... lakini make sure u turn up... coz i will be very upset mi niwe nimekaa hapo peke yangu na kiti cha pili kiko empty........ lol

Shaka ondoa Paka Mweusi was born to keep promises and dates.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom