viruka njia

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Viruka njia husemwa sana,
Lakini hao hao viruka njia hufuatwa na wanaume wengi na hawakosi wanaume kabisa,
Leo huyu, kesho yule.......
Hivi wanamvuto sana au ni uchawi wanatumia kuwanasa hawa wazee wazima?
Au ni ule urahisi wao wa chapchap?
 
ni uraisi wao wa chap chap
--yan km vile umebanwa na mkojo lakin kuna milango miwili mmoja upo waz mmoja mpk ukaombe funguo kuleeeeee ...sasa wewe utakimbilia wap?
so si km wanafuatwa na wanaume wng kwa mazuri its just bcz wapo poa ukiwa na haja unatimiziwa fasta...
MUNGU TUSAMEHE.
 
Kwani na wewe mmoja wapo?
 
viruka njia husemwa sana,
lakini hao hao viruka njia hufuatwa na wanaume wengi na hawakosi wanaume kabisa,
leo huyu, kesho yule.......
Hivi wanamvuto sana au ni uchawi wanatumia kuwanasa hawa wazee wazima?
Au ni ule urahisi wao wa chapchap?

tamaa tu ya midume!
 
aaaah Rose1980 mbona wapenda kuhuzunisha hivi
Haya bana

bibi alinihusia ..MTU AKIKURUSHIA JIWE WE OKOTA CHUNGWA MRUSHIE TENA KWA UPENDO ...unamwambia daka rafiki... so ndo nilivyozoea...
zaid ya apo minikucheka tu...na siwez nikamuanza bnadamu ili anune au ajihisi mnyonge..APANA
MUNGU PIA ALISEAMA TUPENDANE ..so ths is among of element of loving other human being.
thak u
 
Nimeshaliokota chungwa ngoja nikakusanye zigo la mawe nije nikurushie na wewe nenda kachume machungwa mengi
Pia nikikurushia soseji naomba unirushie kitumbua
 
sosej kamtupie mkeo na mimi kitumbua ntaenda kumrushia kadig dig flan ivi mtaa wa kat apo!!!!
 
[SIZE="4[B]"]Yaani, usijelogwa ukajaribu penzi la viruka njia, kujinasua ni kama ngamia kuingia kwenye tundu la sindano...[/SIZE][/B]
 
eeeeeeeeh ndio mambo yalivyo huko eeh Makubwa
Wanapumzika kuruka njia wanaanza kukurusha wewe ohoooo
 
Back
Top Bottom