Nina wivu

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,497
605
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye
 
yatakushinda mwanamme,kama mnapendana mkiwa na strong communication inasaidia,muamini mwenzio na yeye akuamini.wivu ukizidi,utaumwa bure,furahia mawasiliano yenu,mpe mistari ya mapenzi.mwanza na bukoba sio mbali kabisaaaa.
 
Bukoba na Mwanza kuna umbali gani? Je angekuwa Mtwara ungefanyeje? Nakushauri wikiend uwe unaenda, mfano Ijumaa jioni uende na kurudi Jumapili hata jtatu, vinginevyo wikiend atatanua na mijemba.

Pia usiwe na wivu sana, utaumia na kupata presha bure, hutafaidi chochote. Usisahau kuwa mke ni wako 'kitandani', nje ya hapo yeye tu ajiheshimu vinginevyo si wako. Uwe na amani tu unapokuwa naye, na uoneshe mapendo ya dhati.

Usisahau kama anakupenda kweli na yeye huko anakuwaza, hata kama atachukua 'kipozeo', anajua kuwa anakupenda ila tu basiii...
 
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye

Pole sana.
Fanya uoe ili uwe na haki juu yake vinginevo anaweza kumpata mpenzi mwingine.
 
Kitu cha kwanza usiwe mzembe kwenye mawasiliano tena yale ambayo yeye yanamfanya ajisikie anamtu anaye mpenda.:smile-big:
 
Dah tena nimekumbuka, jana usiku nilikuwa mitaa ya La Kairo nikijivinjari na demu mmoja hivi aliyeniambia bwana yake yupo Bukoba kikazi. Binti kwa kweli amejaliwa, mzigo murua upande wa pili kule, kimo kizuri na upako wa asili ngozini. Nilishangazwa na stamina yake ya hali ya juu maana kwa mchakamchaka wa jana usiku sikutegemea kama angeweza kupokea ile simu aliyopigiwa usiku na jamaa yake aliye Bukoba kikazi.
 
mmmmmmmmmhhhhhhh we nimchokozi wewe .....
usimpe mwenzie magonjwa ya moyo....
we untaka mwinzie aanze kukimbia mpaka Mwanza......
 
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye

muone kokubanza na kemilembe wapo hapo bkb watakusaidia
 
Angalia usiwe unachanganya kupenda sana na wivu wakati mwingine vyaingiliana..................
 
Acha kucharaza huko ulipo wivu utaisha, maana unavyocharaza ndivyo unapowaza na wangu wanamfanyia kama hivi.
 
Dah tena nimekumbuka, jana usiku nilikuwa mitaa ya La Kairo nikijivinjari na demu mmoja hivi aliyeniambia bwana yake yupo Bukoba kikazi. Binti kwa kweli amejaliwa, mzigo murua upande wa pili kule, kimo kizuri na upako wa asili ngozini. Nilishangazwa na stamina yake ya hali ya juu maana kwa mchakamchaka wa jana usiku sikutegemea kama angeweza kupokea ile simu aliyopigiwa usiku na jamaa yake aliye Bukoba kikazi.

Jamani jamani mweehhhhh!!!! Taratibu msije muua mtoto wa watu na BP saa hizi wewe taratibu. Pat huyu alikuwa na demu mwingine wala si wako
 
mi mwanamume, nina wivu ile mbaya kwa mpenzi wangu ,kibaya zaidi yuko mwanza mi niko bukoba kikazi nifanyeje?hii wivu itaniua jamani kwani muda mwingi namuwaza yeye

Ni PM nikumalizie wivu wako
 
Dah tena nimekumbuka, jana usiku nilikuwa mitaa ya La Kairo nikijivinjari na demu mmoja hivi aliyeniambia bwana yake yupo Bukoba kikazi. Binti kwa kweli amejaliwa, mzigo murua upande wa pili kule, kimo kizuri na upako wa asili ngozini. Nilishangazwa na stamina yake ya hali ya juu maana kwa mchakamchaka wa jana usiku sikutegemea kama angeweza kupokea ile simu aliyopigiwa usiku na jamaa yake aliye Bukoba kikazi.

Kumekucha sasa
 
Amia Mwanza kama una wivu ,hehehehe ila yeye mwache akae Mwanza wala usijethubutu kumwachisha kazi labda wewe ndo uache :smile:
 
Kuna wanaume wana matatizo!!!!!sasa we ndo mwenye wivu na tayari ushalijua hilo sasa unataka sisi tukusaidiaje???coz ata ukiwa na wivu kiasi gani kama akiamua kuliwa lazma ataliwa tu....
 
Back
Top Bottom