Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku moja usiku nikiwa baa nilimsikia mtu mmoja akiwaaga wenzi kuwa anatakiwa afike nyumbani mapema kwani walishakubaliana na mwenza wake kuwa mda muafaka wa tendo la ndoa ni kabla ya kulala...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Wanandoa wameoana na wamefanikiwa kuwa na watoto wote wa kiume ama watoto wote wa kike. Inatokea kwamba wanandoa kuona familia yao hajakamilika pasipokuwa na watoto wa jinsia tofauti yaani wa kike...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kuna dada mmoja nimesoma naye, ana bwana wa Kikongo na huyo bwana naishi kwa huyo dada . Lakini huyu dada ameniambia hajafurahishwa na huyu bwana kukaa pale kwake ingawa alishajitambulisha kwa...
0 Reactions
133 Replies
12K Views
Jana rafiki yangu kanipigia simu kuniomba ushauri kuhusu kutokuelewana na mkewe wa ndoa kuhusu simu ya mkononi,jamaa ni mfanyakazi mwajiriwa na mama nimfanya biashara na biashara yenyewe ni jamaa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hapo sijui mama naye atakuwa anaangalia TV au
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi ingekuwa wewe umekumbana na hii kitu ungefanyaje? Nimeisoma hii nimeona niilete huku tuijadili! Iwapo utamkuta mwanao wa kiume au wa kike na hii kitu utachukua hatua gani? MWANAMKE mmoja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Imezoeleka kuwa wanandoa na watu walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi/mahaba huongozana kwenda kwenye sehemu mbali mbali, Harusini, Misibani, starehe na kushirikiana vitu kwa pamoja n.k. Je...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nashuka basi stend hapo Mlandizi, nakutana na jamaa yangu kachafuka ile mbaya. namuuliza nini tatizo anasikitika tu huku akisema kwa huzuni "demu wangu katolewa bikira hapo zahanati muda si mrefu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
WAUNGWANA...NAWASALIMU,MI NI MGENI HAPA:smile:JAPOO SINA KAMBAA ILA NIMEPAPENDAAA
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimefarijika sana kukuona tena kwenye jamvi...... Take us through then......a,b,c,d,e................ DC Rt Maj. Gen (1947).
0 Reactions
284 Replies
16K Views
Je, wanaume mwajua kuwa waweza kumtunza mkeo kwa kumpatia vitu kama gari zuri, nyumba nzuri, bank account iliyonona, uhuru wa kutosha, nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi, mapenzi yote atakayo na...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu jana jioni aliniita na kuniomba ushauri sasa nimeshindwa hata cha kumshauri kwani sina uhakika, ndio maana nimeamua kulileta hapa kwenu mnisaidie mawazo. Huyu dada anadai...
0 Reactions
298 Replies
18K Views
:welcome: Katika pita pita zangu kwenye post za website mbali mbali, nikakutana na watu wengi wameunga mkono post ya jamaa mmoja inayosema ''Unauliza tena watanzania kwa ngono na pombe&#65279...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wandugu,naombeni mnisaidie:nina umri wa miaka 38 jinsia yangu ni ya kiume niko single nimechagua wadada wee mwisho naona umri unataka kunitupa mkono la ajabu sasa kila demu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Week end ndio hiyoooo inaanza, naomba basi hii avatar iache uchokozi japo kwa siku mbili hizi jamani ,ili wanaume tutulie na familia zetu.I wish you all a very good week end.
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Kuna dada tunafanya nae kazi huku nje ya Tanzania, kaolewa mumewe yupo Dar ndoa yako ina miaka mitano, toka tumekuja huku jamaa anagombana na mkewe kila kukicha tangu mwezi wa 5 tuko huku huyu...
0 Reactions
166 Replies
13K Views
habari zenu wadau, kwanza napenda kusema kile kilichopo kumutima gwange (moyoni mwangu) kwamba nimemmiss saaana Mzee Mwanakijiji pamoja na hadithi zake tamu tamu. nia na madhumuni ya keweka hii...
0 Reactions
86 Replies
11K Views
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28. Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
1 Reactions
64 Replies
11K Views
How to keep a woman happy.... Priceless! It's not difficult to make a woman happy. A man only needs to be: 1. A friend 2. A companion 3. A lover 4. A brother 5. A father 6. A master 7. A...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Hugh Wilson, contributor, MSN Him, 15/10/2010 12:19 How to deal with her romantic past Unless your girlfriend has lead a very sheltered life, there's bound to be the skeletons of one or two...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom