Wanaume ubongo wetu unakasoro sometimes?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume ubongo wetu unakasoro sometimes??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Nov 15, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Ukiwa unatafuta mpenzi mara niyingi utumia mda mwingi gharama kumtafuta huyo unayempenda lakini inakuwaje ukisha mpata unatoka nje wakati ulitumia gharama nyingi?umemwacha ndani na unaenda nyumba ndogo huko ndo baraa ukitajiwa hakuna kuuliza hata bei!na gharama zinakuwa mara dufu!je sisi wanaume tunakasoro kwewnye ubongo??au wandani unakuwa humpendi??nakama humpendi kwa nini unakuwa nawivu naye??Na je nje ukipigwa kibuti kwanini machungu yote uyarudishe ndani uliyemwacha masaa dahali??:doh:
   
 2. M

  Mtama Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukweli kama umempata wako wa ubani kisha ukamfanyia hayo tatizo litakuwa ni msingi wa mahusiano yenu,mfano kama ulikuwa unafikiri ndoa ni raha tu bila changamoto,ukaoa halafu ukakutana na utofauti lazima utahisi umeingia choo cha kike na utalazimika ukitafute cha kiume kitu ambacho ni kinyume chake,kwa kifupi haya ni mambo mapana sana yanahitaji muda kuyajua
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuana baadhi yetu huwa hatuki thamini tulichonacho na 2. wake zetu kujisahau 3. tamaa za kijinga
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  gve me some more pls
  umenena ya KWELI TUPU
  SINA CHA KUONGEZA
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,717
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Sio kasoro aisee, ndo ukamilifu wa kiume ati...
   
 6. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kama yanahitaji muda kuyajua, ni kuwa hayajulikaniki kwa sababu we are all human being ila hatulingani!
  huwezi kujua! cha msingi ni kutenda mema kwa mwenzi wako na kujiweka safe side ukitafakari all risks ambazo wawezapata ukifanya mambo ndivyo sivyo
   
 7. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mnamtindio wa akili
   
 8. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmelogwa!
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii sio kasoro, ndo wanaume jinsi tulivyo!na hii ndo siri ambayo dada zetu huwa hawaijui kabisa juu yetu!mwanamke unaweza ukamgharamikia sana tu, ukamjengea nyumba, ukamnunulia gari na mambo mengine kedekede, lakini kumbe mwisho wa siku jibaba ulikuwa unataka umege tu mara kadhaa kisha upotezee uangalie ustaarabu mwingine!
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  :doh::doh::A S angry:
   
 11. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAKA KIIZA kama ndio hiyo picha yako mmmh yani inanishangazaga kilasiku unatisha ujue mtu akikuangalia kwa makini.,kama mtoto anaweza lia kabisa
   
 12. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwa upande wangu naona ni matatizo yako tu na baadhi ya jamaa zako.

  Mambo ya ndoa lazima uwe mvumilivu bila ya hiyo umeliwa. Na hilo ndo linalokufanya wewe uhalalishe kuwa ni wnaume wote.
  BADILIKA, ZUNGUMZA NA MWENZIO
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo umeamua kunitusi nikushataki kwa Br Mod??mungu anamadhumuni yake kunipa hii sura!jamani kama unanichukia nichukieni mimisikujiumba!!:A S angry:
   
 14. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  :nono: NaOMBA nikukatalie kuwa si kwamba wanaume ndivyo tulivyo! sema hata mimi nipo hivyo! basi.

  Kuna watu kibao hawachezi na mambo haya, yaani akiacha ujue huyo dada anamatatizo makubwa, lakini kama unakuwa unamgharamikia mtu halafu lengo ni kumega basi wewe subiri Mungu akuadhibu hata kabla ya kufa kwako. na utakufa masikini daima.

  Kumega tu mbona siku hizi huduma za machangudoa zipo? si uende umege, lipa na kuondoka, lakini kudanganya watu walio serious ni DHAMBI KUBWA!

  ACHA MARA MOJA WENZIO WAMEACHA!!!!:deadhorse:
   
 15. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Huyo naye ana yake, mwache kwanza wakati hata sura yake twaijua!!
   
 16. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  :doh:Thibitisha kwa kuiweka hapa!!labda unaota unataka kusema hii siyo sura yangu??
   
 17. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  nani kakudanganya?
   
 18. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama yako kweli mmmh, kazi kwelikweli huko ulipo, inatakiwa uwe na pesa nyingi kupata wataliiiiiiii.
   
 19. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  yaani upuuzi mwili mzima
   
 20. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  wengi wenu wananunua nguo dukani ambayo kaipenda hata kama hana hela atakopa,akifika nyumbani anaanza kuwaza ile nyengine aloiacha dukani kwamba ni nzui kuliko aliyonunua,ukweli utabaki pale pale uliyoipenda kwanza na kununua ndio nguo yako nzuri,hata kitabu kitakatifu kimesema shika sana ulichonacho muovu asikunyanganye.
   
Loading...