Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by janelema, Nov 12, 2010.

 1. j

  janelema New Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mdada wa miaka 26 nakaa USA, nimekuwa sina bahati kabisa kupata kaka wa kitanzania huku USA ambae naweza kuna kwenye relationship naye zaidi hata ya miezi sita. Yaani huwa baada hata ya 4month au 3 narudi kuwa single tena. Hawa makaka wa kibongo huku USA wengi hawana la maana kabisa, hawana shule, hakuna makaratasi wala kazi ya maana unayoweza sema umechukulie seriously. So far nimekuwa na makaka wa kibongo 5 hapa USA na wote mwanzoni nilifikiri ni wa maana lakini nakuja kungudua wanadanganya, kazi zao, kiwango chao cha elimu wengine mpaka wanaishia kuniomba pesa mimi sababu hawana hata kazi. SASA NIMECHOKA KABISA NATAKA KUTAFUTA KAKA WA KIBONGO ALIYE HUKU NYUMBANI SITAKI TENA HAWA WABEBA MABOX WA HAPA KABISA. Kuna kaka fulani mbongo tumekuwa tukicommunicate nae na anaonekana kunipenda kabisa anakazi nzuri sana, very handsome na nilivyokuwa bongo mwaka huu July tulikula good time sana tuu. SASA NATAKA KURUDI NYUMBANI NA KUANZA MAISHA YANGU HUKO KABISA, NA KUWA NA HUYO KAKA. Mimi nina elimu yangu nzuri tuu nitapata masters yangu this dec. JE MUNAONA NI JAMBO LA MAANA?
  Source ni: WAKAKA WA KIBONGO MAREKANI NI MIYEYUSHO....
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Heheheheheee...hizi frustration za maisha hizi
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hii nimeikuta U-Turn nikakimbia fasta :smile:
   
 4. Mwalimu

  Mwalimu JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,475
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hii lazima imetoka kwa blog ya Mange...
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  haya mambo ya U turn haya....very LOW.....crap kabisa...
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wakaka wa kibongo marekani ni miyeyusho....

  HA HA HA HA LMAO!!!!!!!!!!!, Aliingia choo cha kiume
   
 7. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye nyekundu, huyo mkaka wa kibongo ajua kulikuwa na wengine watano 5!!!!!!!
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Message yenyewe imetoka kwa Mange utashangaa nini ikikaa kibange bange.
   
 9. g

  gutierez JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Duh hii kali,ila wanakuambia mlango 1 ukifungwa huwezi kujua mingine iko wazi,so usikate tamaa muombe sana Mungu wako atakusaidia tu,utapata kijana mzuri mtaanza nae maisha,uvumilivu tu,maana hata chakula kizuri kile kilichoiva safi kuliwa kinachukua muda.
   
 10. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Dont come home ooow take a test first ooow, Don't come back home woo, my sis woo abeg abegwoo.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Labda huna mvuto au umekaa kibiashara zaidi, nani anataka presha na maisha yenyewe mafupi haya..
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Alishawahi kuwa na wa 5 kwa muda gani? na anadai kila after 4/5 months kibuti so ndani ya mwaka ashabadili 4 hivi na siajabu kakata ukali wa manenoi mimi namuongezea ndani ya mwaka 7 hao ni permanent bado wale wa fasta fasta, mh ndio maana watu wengine hawaaoi kwa hali kama hii mtu unaweza kuuoa ukajapata background ya mkeo ukazimia. kweli kuna watu used duniani.
   
 13. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #13
  Nov 12, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  CRAP......unawezaje kuwa nao kwenye relastionship kwa miezi 6?

  CRAP...hiyo elimu yako ingetosha kukwambia kuwa hawana la maana na hawana pesa so usingekuwa nao kimahusiano in the first place....wamefika watano! kwa muda gani? Si ungekuwa tu bila relationship? kwan lazima...halafu stop bragging hapa

  CRAP...unadai UNATAFUTA.....na hapa chini unaye tayari......wewe una matatizo....

  .

  CRAP nyingine......so huyu ni wa 6 sasa.....
  HILO sio jambo la maana...bragging ya education haikubaliki na malaria haikubaliki

  This is too low kwa jukwaaa hili

  kwa Mange kule poa tu lakini hapa ngumu
   
 14. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #14
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Hii nimeipenda:::

  Huyu alienda kusoma au kuvua wanaume chup*?:doh:
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Huyo alikuwa na matumaini ya kuhama nchi ..sasa analeta mambo ya sour grapes..Bwe he he he..

  La kuvunda halina ubani, na kischo rizki hakiliki..wahenga wetu walikuwa bright sana!
   
 16. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #16
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kabla ya kuja usa ulikuwa nao wabongo wangapi? Na wasio wabongo ni wangapi ushakuwa nao? Mumie unatisha unafaa kuingia kwenye gb
   
 17. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #17
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shem ua taratibu basi, yani nimecheka hadi nakaribia kuzimia
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  khaaa hiki kweli kimeo....
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Nov 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Umetumikia mno dada yangu hufai ndo maana wanakukimbia
   
 20. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #20
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  yaani ningemjua anitumie picha kwani anaonekana ni vodafaster ningemfaidi maana anaongelea sana fedha elimu na mapezi au elimu na fedha vitu tofauti labda walikuona unajipa maujiko kwa kuwa umesoma njoo ugombee viti maarumu Bungeni waweza pata Mfariji
   
Loading...