Ndoa ipi itasalimika kati ya hizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa ipi itasalimika kati ya hizi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtama, Nov 15, 2010.

 1. M

  Mtama Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwenye ndoa kuna vibweka sana,ndoa ikiwa haina mtoto utasikia ooh ndoa haijajibu,mara mwanaume hajui shughuli,mara mawifi nao wanakuja juu wakidai wifi yao mgumba,mara mashemeji nao wanakuja juu wakidai shemeji yao hana uwezo wa kumpa ujauzito dada yao mara ndoa pwaaaaa!!!!Upande wa pili nako vituko,ndoa ikipata mtoto,utasikia mume analalama mkewe hamjali anamjali mtoto tu,kesho jamaa analalama mkewe kawa mchafu anuka maziwa ya mtoto masaa 24,mara ndani hapasafishwi minguo ya mtoto imezagaa mpaka bafuni,jamaa anaamua kutafuta kipozeo nje,mama mtoto anagundua mara ndoa pwaaaaa!!!!KIPI NI KIZURI????
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  binadamu tumeumbwa na tamaa na huwa haturidhiki na mara nyingi mambo kama haya hupelekea kkukimbiza baraka za ndoa zetu nimeshaona ndoa za aina zote mbili ulizotaja hapo kusalimika kwao sio kuingiza third part ni wao wenyewe kuamua na kukubali na kuamini yote Mungu anatoa na kumshukuru kwa yale aliyowabariki ivi tumeshawahi kujiuliza kuna ndoa hazijajaliwa kupata mtoto hata mmoja lakini wamebarikiwa kuwa na uwezo wa juu sana kifedha,elimu, hata kazi na wengine wamebarikiwa watoto lakini wanastruggle sana kutunza hawa watoto ivi huwa tunahesabu baraka zetu na kuzitumia kwa ajili ya wengine au wakati wote kwetu ni wakati wa kulalamika tu naamini kila jambo linalotokea chini ya jua lina sababu na ndio linakufanya uwe wewe na kufikiria zaidi yajayo yale tunayopitia na kusimama imara hutufanya siku moja tuonekani watu wenye uwezo mkubwa kimaamuzi na kuheshimika kwenye jamii.
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Binadamu wote hawaridhiki
   
 4. F

  Ferds JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kumbuka Indra Gandhi alovyosema & I quote " GOD CREATED THE EATH WITH EVERYTHING THAT CAN MAKE A HUMAN CREATURE ENJOY A GOOD LIFE, BUT GOD CREATED NOTHING FOR HUMAN DESIRES' hizi nafsi bora zingeondolewa labda tungeishi kwa amani
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  km mapenz nehi kati ya zote hazidumu
  km wanapendana apo hakuna itakayovunjika
   
 6. w

  wikama Member

  #6
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kutopata mtoto siyo chanzo cha kuachana huenda kama kuna sababu na hiyo kuchangia kuachana, cha msingi hapa ni uvumilivu na uaminifu mtafika mbali lakini ukianza kuwasikiliza madada, wifi,mama,shemeji ndio utavimba kichwa na kuacha mke wako, na hii ya uchafu wa mtoto hata wewe ulikuwa mtoto na ulikuwa mchafu ivoivo hili siyo jambo la kuacha mke hata kidogo !
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  :becky::becky::becky::becky::becky:
   
 8. Zneba

  Zneba Senior Member

  #8
  Nov 15, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmh
   
Loading...